Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wananajanvi wenzangu naomben kuuliza kama hili lililonipata ni tatizo au? Takriban wiki sasa nimekua nikipatwa na kiu ya kufa mtu na kujikuta nakunywa maji mengi sana,karibia lita 3-4 kwa cku.na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KAMA takwimu zinaweza kudanganya, kwa mujibu wa Profesa Yule, basi inawezekana kwa asilimia kubwa zimetumika kuwadanganya wananchi wa Tanzania juu ya kukua kwa uchumi ilhali hali ya kipato binafsi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka mmoja baada ya kumaliza masomo ya chuo kikuu (UDSM) miaka ya 90 nilikutana na rafiki yangu tuliyesoma naye nikamuuliza mwezangu umeshapata kazi? akasema, tena kazi niliyonayo ni kubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhe edward lowasa ameokoka na sasa amekuwa mlokole anasubili kubatizwa maji tele. Hatua hiyo imefikia baada ya kushauliwa na tb joshua wa nigeria
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Sasa anatapatapa kuomba msaada wa vigogo wa CCM baada ya approach yake ya umakamba ya kusema hovyo kama aliyekunywa gongo kugonga mwamba. Wanachadema wamekuwa daima wakisimama imara kuzikabili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna habari vurugu zimetokea Manzese Tip Top kati ya vijana na polisi wakigombea maiti na inasemekana kituo cha polisi kimechomwa moto. Tunaomba mlio Manzese mtupe undani wa tukio lenyewe. Habari...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakubwa Mkuu wa kaya jana alikuwa Bukoba kufunga maonesho ya Ushirika lakini kikubwa ni kuwa ulinzi aliokuwa naop JK haujawahi kuonekana kwa marais waliotangulia Tanzania. Kwanza wakati wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiwaona askari jeshi (MP) wakiranda randa barabarani hasa nyakati za asubuh hapa Dari, kama askari wa kawaida.Sijaelewa wanafanya kazi ya polisi,au ya wale wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri atajwa kupewa kontena la baiskeli kabla ya uchaguzi Send to a friend Tuesday, 05 July 2011 20:17 0digg Waziri wa Maliasili na Utalii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa ndipo ninapo amini Mkapa na uhuni wake alikuwa kichwa kuliko Kikwete, rais Kikwete amekwenda Kigoma kufungua daraja baada ya muda wakalipa jina la daraja la Kikwete. Kwa nini nasema hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kupitia Tangazo la serikali GN NO 185, 186 na 189, serikali imefanya mabadiliko kwenye ada inayolipwa na watu wanaotaka huduma ya vibali vya Makazi ( residence permits),visa, ada ya maombi ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Swali wana JF, Hivi kweli kama we' ni mtanzania unayefuatilia nchi yako inavyoendeshwa!, Polisi mambo wanayoifanyia jamii, je unaweza kuthibitisha kuwa Polisi ni sehemu ya jamii??
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Nazikumbuka sana enzi zile, the old school dayz at Kisarawe Primary School (1978-1984). Namkumbuka Mwl Chuma, Mama Urassa, jamani muda umepita Mko wapi wapendwa? It is 27yrs now since we...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamanda wa polisi mkoani mwanza amesema kuwa vurugu zilizotokea jijin mwanza ni zao la wanasiasa ambao wamekuwa wakiwashawishi wamachinga wasihame Sosi:timez fm habari
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania tumekuwa wepesi sana wa kuiga mambo mbali mbali toka sehemu nyingine aidha kwasababu tumeona katika picha au kusikia hebu soma hii taarifa huwezi kuamini kama imetokia Tanzania. Mbona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau nasikia milio ya mabomu kama ya mbgala na gongo la mboto sijui Gongo la mboto?
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Hapo zamani za kale palikuwa na kipindi katika RTD kikiitwa mazungumzo baada ya habari.Mojawapo ya simulizi zake ilikuwa kuhusu mzimu katika makaburi ya mabaniani.Iliaminika kuwa palikuwa na mzimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale waheshimiwa wanaotoa misaaada kwa serikali yetu wametangaza kusitisha kutoa fedha mpaka watakapotaka kujua swala la epa linaisha lini wamesema wamechoka naupuuzi wa nenda rudi wa wahusika wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja anayesemekana ni mke wa mtu,alikuwa ametokea wa Mara willaya ya Tarime alikwenda, Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuomba kufanya kazi za ndani kwa mama mmojo (majina yao yamehifadiwa)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I sit and observe and sometimes give a hand my b.friend as he is applying for a job and man…what a process. So far we have made so many applications, send letters, cv to almost all the places...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Back
Top Bottom