Heshima wakuu!!
Mara nyingi katika michango mingi inayoandikwa humu kuna baadhi ya vifupisho vinatumiwa ambavyo mimi huwa sivielewi maana yake au kirefu chake. Naomba msaada wa kunipa kirefu cha...
Turning to JF members for help. About a week ago news in the media were such that (reported) Tanzania had, during the last ten years ending June 2011, managed to export gold worth US$ 5 billion. I...
Jamani nimesikia kwamba mafuru aliyekuwa voda amekuwa mkurugenzi wa shirika la posta tanzania,nataka kuwahamu kama habari hiyo ni ya kweli,please it is personal but nataka kufahamu tu coz jamaa...
Nikiwa kama mfano wa mwalimu ninaefundisha somo la Civics shuleni je ni sahihi nikitumia Topics mbalimbali ku relate Topic zangu kwa kuwapatia wanafunzi mifano mbalimbali juu ya ufisadi unaofanywa...
Ndugu zanguni ilikuwa mchana niiliposikia kwenye kikao cha bunge mbunge wa mbeya mr 2 aliposema atoruhusu clouds fm kupiga ujinga wao wa kila mkoa wanaoendeleza inaua vipaji leo nimesikia diwani...
Hivi karibuni nimesikia jitihada za serikali kuzuia uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Sina shaka kwamba hatua hizo ni kinyume cha kanuni za biashara huria, na pia kwamba zina madhara ya moja...
I keep wondering what our leaders consider of more importance as far as their duties are concerned! ask me why? of recent our PM (Mtoto wa Mkulima) discharged his daily activities and left Bunge...
WASHINGTON The number of dollar bills rolling off the great government presses here and in Fort Worth fell to a modern low last year. Production of $5 bills also dropped to the lowest level in...
Wadau naomba mwenye taarifa atujuze, nasikia ghalama ya vibali kama uraia, vibali vya makazi na vinginevyo vimepanda maradufu
naomba taarifa kwa mdau wenye taarifa
nawakilisha
Jana nikiangalia habari saa 2 usiku kituo cha ITV, kuna habari ilinisikitisha sana,Imekuwa ni kawaida ya kuona wagonjwa wa akili wakila majalalani.
Lakini huko Dodoma watu wenye utimamu wa akili...
Mwishoni mwa karne ya 20, tanzania ilianza kuuzwa, ila wawekezaji wachache ndo waliokuwa na udhubutu wa kuinunua, hata hivyo walioweza kuinunua walichukua zile sehemu pevu nia yao ilikuwa
1...
Meya wa Mwanza, Kutoka chadema ameanisha kuwa Mkurugenzi Kabwe anazidi kutumia na wanasiasa ili kuidhofisha Chadema. Hii ni baada ya kutokea vurugu za Mza kati ya Polisi na Machinga. Madiwani wa...
SERIKALI wilayani Morogoro imetoa onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano yake iliyokusudia kuyafanya hivi karibuni katika baadhi ya mikoa ukiwamo wa Morogoro...
Mbunge wa Mpanda Mjini (CHADEMA) leo aliuliza swali kuhusu uuzwaji wa hisa za TTCL mwaka 2000. Inawezekana baadhi ya tarakimu hapa nikizikosea, lakini bado msingi wa hoja yangu ukawa usiathirike...
Katika kufanya background research ya Famine in Africa particulary in Ethiopia, nikakutana na hii comment ambayo imeshinda kama "the best comment" :
"In Ethiopia іtѕ thе same...
Mgao wa umeme umekua mwiba kwa wakazi wa Arusha,kwani inasadikika kuwa bidhaa ya sembe imekuwa adimu kwa sababu ya kukatika umeme kwenye vinu vya kampuni inayohusika na ukoboaji wa...
Ni saba saba day, nimeenda kwenye vituo tofauti tofauti vya mafuta(Petrol stations) nikitaka diesel kwa ajili ya ka-generator kangu nikijihami na mgao wa umeme,Sasa niliyoyakuta huko...
Wandugu naomba mnisadie kufahamu historia ya sabasaba na uhusiao wake na maonyesho ya biashara nimekuwa nikiangalia picha za matukio ya jana yaani 7/7/2011 kwenye vyombo kadhaa ya habari cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.