Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
it is all happening between Ruvuma and Whitehouse Magogoni dsm,nimefuatilia toka anasema kauli ile kule mbinga mkoani Ruvuma nikagundua alilokuwa anataka kuliongea ni la msingi lakini vifuatavyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, kesho tarehe 7 Juni 2011 vikao vya Bunge la Bajeti vinaanza ambapo waheshimiwa watakuwa na kazi ya kuijadili na kuipitisha (kama kawaida maana uthubutu wa kuikataa haupo....) bajeti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri wenu jamani wadau, nina mdogo wangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate mwaka 2010 akapata div 4 akarudia tena mwaka 2011 kapata div iii ya pnt 17...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gazeti la Mwananchi leo limechapisha kile kilichoitwa majibu ya Ikulu kwa Maaskofu. Sehemu ya taarifa ya ikulu iliyonukuliwa na gazeti hilo inasomeka hivi: "Mtu akikuonya kuwa nyumbani kwako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NISIKIE TANZANIA ni open open group ambayo nimeifungua katika facebook ili tuweze kupashana habari mbalimbali papo kwa papo . kujiunga fungua www.Facebook.com kisha tafuta NISIKIE TANZANIA. WOTE...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
SASA NI ZAIDI YA MIEZI SABA MAWAZIRI WANAISHI KWENYE MAHOTELI....AMBAPO GHARAMA KWA SIKU (hutegemea aina ya hoteli) NI ZAIDI YA LAKI MBILI (200,000) PIGA LAKI MBILI MARA MIEZI SABA NI HILO NI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN, THERE IS A WOMAN, BUT, BEHIND EVERY SUCCESSFUL WOMAN IS THERE A MAN? I'm a succesfull man (profesional) But behind me theres no women yet (excluding mother) :)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanaume Abakwa na Wanawake 10 Kijana mwenye umri wa miaka 17 wa nchini Papua New Guinea amelazwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kubakwa genge la wahuni wanawake wapatao 10. Kwa...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
For sale: Nice house, large kitchen, several thousand snakes included. Watch the video on snakes in the house. They say there are snake pits on Wall Street.Chase has learned there are...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IKIWA hiii ni wiki ya mwisho kodi ya pango ya nyumba alilolipia inamalizika, mwanamke aliyeripotiwa katika mtandao huu kuwa anasababisha kelele kwa wapangaji wenzake, inadaiwa anazidisha maombi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI la polisi limedaiwa kufanya tena muaji Mugumu mkoani Mara ambapo safari hii, askari wa Kituo cha Mugumu wilayani Serengeti, wamedaiwa kumuua Nyitamboka Mwita (28) kwa kumpiga risasi akiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waheshimiwa simu yangu mara kwa mara huwa inazima pale ninapopitia hoja kadhaa za wanaJF wenzangu. Ninapo click ili nione mwenzangu amesema lipi ili nichangie, simu huanza kusearch na kisha huzima...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
'Dramatic' solar flare could disrupt Earth communications By Kerry Sheridan | AFP – 2 hours 48 minutes ago This 2006 Solar and Heliospheric Observatory (SOHO) Extreme ultraviolet...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
tanzania tanzania, nakupenda kwa moyo wote nchi yangu tanzania, jina lako ni tamu sana nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weeeee.... tanzania tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amesema serikali yake itahakikisha ifikapo mwezi Agosti mwaka huu kila mtanzania analala ndani ya chandarua ili kuweza kupambana kuuondoa ugonjwa wa malaria nchini...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
napenda sana kuwa banned, naomba msaada kwa wanaojua
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yale mabasi TATA ya watoto wa shule siyaoni kwetu,hivi mlilenga route zipi na watoto wa shule zipi? Mlishafuatilia kuona kama kweli yanasaidia?je yana ratiba maalum au yapoyapo tu? Hebu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
polisi kweli wametenda haki hawajaninyanyasa wala hajanidhuru ila wamenilinda sana,nilimsikia akisema itv jana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF ebu nisaidiene mara zote rais kikwete huwa anahudhuria kwenye kusimikwa kwa maskofu kuanziz mwezi wa tatu mpaka leo amehudhuria mara 5,ila sijawahi kumuona huku kwetu kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, Poleni na Majukumu ya siku. Tunapenda kuwatambulisha mtandao mpya kwa ajili ya Real Estate Tanzania. unapatikana myDalali - Tanzania online Real Estate Agent karibuni nyote mtafute...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom