Nimesikia tangazo kuwa siku ya Jumapili chama cha CUF kitafanya maandamano kuanzia ubungo hadi manzese nafikiri pamoja na mambo mengine ni kupinga hali ya ukandamizaji wa sheria kutokana na ukweli...
Why I love Islam: Lauren Booth defiantly explains why she is becoming a Muslim
By Lauren Booth
It is the most peculiar journey of my life. The carriage is warm and my fellow passengers...
Inasikitisha kuona chombo kikubwa na cha serikali kama board ya mikopo inakuwa mstari wa mbele kuchakachua wafanyakazi bila kuzingatia makubaliano yaliyosainiwa.
ni jambo la busara kufanya malipo...
:fear:Mwanzoni mwa wiki hii, jamaa yetu mmoja ambaye ni mfanya biashara hapa Nzega kwa jina Kapuni .Watoto wa mjini walimwingiza mjini kwa kumuuzia dola za kimarekani zenye thamani ya Tshs Milioni...
Mamboz.
Nimetamani kushare na kusikia kutoka kwa member yoyote atakeweza kushare nami hapa aina ya chakula apendacho kula, akiwa nyumbani, mgahawani au hata special outing (dinner)
Mimi binafsi...
MIAKA 50 YA UHURU: Watoto na wazazi wa Kijiji cha Oliipil, Loliondo mkoani Arusha wakisubiri wauguzi na madaktari kutoka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya kliniki. Jengo linaloonekana ndiyo...
Humps/Bumps
Why substandard in this things?
mengine kama mlima
mengine kama vyuma vya reli.magumu hayo!
mengine marefu
mengine hayana hata alama
basi ukisafiri njia nzima ni kero,na yanawaste...
Hili linanikera sana,wanakusimamai dirishani,ukiwapotezea kama hujawaona wananza miluzi.
Ukiwa unaongea na simu bado wapo tu wanachungulia ndani.Na pia ni hatari kwe maisha yao.
Nasikitishwa na utendaji kazi wa wafanyakazi wa shirika la Posta sehemu ya masanduku ya barua, wamekuwa na tabia sugu,mbaya na ya muda mrefu ya kufungua barua/vifurushi wanavyoweka kwenye...
Nachukua nafasi hii nami nitoe yangu machache, kati ya mambo kadhaa yanayo kera ndani ya Jamiiforums. Siku za hivi karibuni limekuwa ni jambo la kawaida sana kukuta washabiki wa hivi vyama viwili...
This is dangerous especially for a corrupt police department like ours. Huu ni ulaji wa polisi wetu na itawaumiza wanaofanya biashara ya daladala ambao ni wabangaizaji tu
Hili gazeti la TZ Daima, habari zake kwenye mtandao zinabadilishwa baada ya siku kadhaa, ukifungua leo unakuta news za J3, Vipi?
Tafadhali nendeni na wakati badilisha habari haraka. Msiwe kama...
St marygoreti ni kati ya shule zinazo sifika kwa wanafunzi wake kufahulu vizuri nawasifu kwa hilo.ila shule hii pia imesifika kwa kuwa ya wasichana pekee hadi walipo amua kuanzisha wavulana miaka...
MSICHANA mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kigogo, Luhanga, Dar es Salaam anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za 'kumbaka' mtoto wa
kiume mwenye umri wa miaka mitatu.
Msichana...
1.CHUMO:
child molester. a person who enjoys pounding little boys asses
2.CHUMO:
Child Molester, man who enjoys pounding little boys ass' (or in rare extreme cases little girls) such...
Wana JF
Usiri umewaumiza Watanzania kuanzia wakati serikali ilipotia saini kuingiza IPTL huku ikijua athari zake. Baadaye viongozi walewale waliingiza kitapeli na kuipa mkataba kampuni ya...
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewashikilia watuhumiwa 46 wa ujambazi ambao walikamatwa kwa makosa mbalimbali.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suileman Kova...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.