Askofu amshangaa Kikwete
AHOJI KUWAGWAYA VIONGOZI MIZIGO
MWENYEKITI wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu, Steven Mang'ana, ameelezwa kushangazwa na Rais Jakaya...
Ningependa kujulishwa nini tofauti ya Rav4 GX, Rav4 VX, Rav4 L, Rav4 J na mengine mengi ya kitaalam kuhusu hili gari aina ya RAV4. Na pia kuhusu VW Polo na VW Golf upatikanaji wake wa spare hapa...
kwa sasa Times fm inasikika kupitia internet, kwa hili naomba niwapongeze hawa jamaa, na pia redio nyingine mfano za IPP zinatakiwa kuiga mfano huu. sikiliza hapo chini!!:mod:
. . . . . . . . . ...
NI KUDHIBITI RUSHWA, MMOJA AENGULIWA
KATIKA UCHAGUZI
Godfrey Nyangoro
UCHAGUZI wa viongozi wa Baraza la Vijana la
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), jana ulitawaliwa na vituko...
Mtoto mwenye vichwa viwili amezaliwa nchini China na kuwa gumzo kwenye vyombo vya habari duniani.
Mtoto huyo alizaliwa katika jimbo la Sichuan akiwa na viungo vyote kamili kama watoto wengine...
WAFUGAJI katika wilaya ya Mwanga kwa muda mrefu wamekuwa wakitaabika kutafuta maji kwa ajili ya mifugo yao.
Hili limesababisha mifugo kusafirishwa umbali mrefu ili kufuata maji. Hali hii imekuwa...
Hebu wanajamvi mnijuze kuhusu hili. Naibu waziri anapoenda kukagua shule akiwa amepanda gari la millioni 200, pamoja na msafara unaoambatana naye.
Je inaingia akilini kuona shule hazina madawati...
Ndugu zangu Wana jamii forums kuna haja wale ndugu zetu walioko kule Tarime kuwasaidia kujua wao ni raia wa nchi gani hapa A.Mashariki maana wananyanyaswa kama sio watanzania ,wana baguliwa...
Chama cha wananchi cuf, kimetanganza mkakati wa kufanya maandamano kupinga uhalifu wa polisi tz. Naona hii ni hatua mmojawapo ya kupinga ubabe wa polisi usio na maana kwani mara nyingi wamekuwa...
WanaJF,
Kwa wale ambao wamebahatika kuangalia taariza za habari kupitia TBC1 wanaweza kuniunga mkono,
chombo hiki kiitwacho cha umma kinaonekana kupoteza mvuto na mashiko wa watanzania kwa sababu...
Jamani. Inasikitisha. Hawa watoto wadogo kiasi hiki kati ya miaka 2 had 10 katika maeneo ya mnazi mmoja, magomeni, kinondoni, barabara ya ali mwinyi, watakuja kuwa watu wazima wa aina gani...
Katika hali isiyo ya kawaida kwa wanafunzi wetu wengi wa vyuo vikuu vya Tanzania, ambao hupenda kujiweka mbali na shughuli za kijamii, wanafunzi wa Chuo Kikuu DODOMA, leo wanaongoza matembezi ya...
Habari zenu JF!
Haya mambo yanahitaji wajuzi watusaidie...tunakabwa hadi kooni hatujui tunalalamika wapi?
Jamaa yangu amepita mjini kati na gari yake...akaingia dukani kuulizia bidhaa...dada...
Toilet shame! Send to a friend
Saturday, 28 May 2011 09:36
digg
By Sylivester Ernest
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania has one of the worlds most inadequate human waste...
As i was collecting my regular copy of TANZANIA DAIMA and a few choice sunday papers from a news vendor I was intrigued by the front page item regarding the
replacement of the late Sheikh Yahya...
"Ujana harakati uzee maono", maneno hayo yalisemwa na mzee shibuda sikuyaelewa.
Maono na harakati kwanini vilihusianishwa na umri? Au ndo kusema vijana hawana maono au wazee walio wanaharakati si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.