Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mchungaji adaiwa kukutwa na marehemu 3 Imeandikwa na Thomas Dominick, Musoma; Tarehe: 19th January 2011 @ 07:59 WANANCHI wa kijiji cha Nyankanga, Musoma Vijijini, mkoani Mara wamevamia kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Muda sio mrefu majira ya saa tano na robo saa za Afrika Mashariki kumetokea tetemeko la Ardhi mjini Dodoma japo halikuleta madhara ya moja kwa moja kama uharibifu nk.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa. Je, bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijiji cha Kunduchi hatarini kutoweka Na Job Ndomba KIJIJI cha kihistoria cha Kunduchi Pwani jijini Dar es Salaam, kipo hatarini kutoweka kutokana na maji ya nguvu ya bahari yanayodaiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jf wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita vyuo vikuu vilichelewa kufunguliwa kisa fedha ya kuwalipa wanafunzi hakuna eti hivyo wakasogeza mbele ili wapate fedha cha kushangaza hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wana JF, si mnazijua zile spam za kutapeli watu fedha? Hii ya leo kali! Kuna njemba inajifanya mtoto wa Julius Kambarage Nyerere. R. JULIUS NYERERE JNR JOHANNESBURG SOUTH AFRICA TEL...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
At school, a boy is told by a classmate that most adults hide at least one dark secret and that makes it easy to blackmail them by saying, "I KNOW THE WHOLE TRUTH", even when you don't know a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Posted by JacobSloan on January 17, 2011 Abu Dhabi now controls its weather with giant ionizers, the Telegraph reports: A secret £7 million weather project in Abu Dhabi has resulted in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natarajia kuwepo kisiwa cha marashi ya karafuu wiki ijayo. Kwa JF Members mlioko kisiwani unguja, nitafurahi kama nitaweza kupata muda wa kukutana nanyi ili tufahamiane "nje ya mzimu wa pc"...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Changia wahanga wa maafa katika maandamano ya amani arusha. Tuma mchango wako kwa m-pesa 0753 444 443, zap 0688 111 161 na tigo pesa 0659 173 663 au fika ofisi ya mbunge. Changia kiasi chochote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TZ-China in Sh4tr Mchuchuma talks Monday, 17 January 2011 23:01 digg National Development Corporation (NDC) Board Chairman, Dr Chrisant Mzindakaya, exchanges views with Sichuan Hongda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
PERFECT ANSWERS TO STUPID QUESTIONS.... 1. When people see you lying down, with your eyes closed they still ask:- Are you sleeping? A: No! I’m training to die:s 2. Imagine when you take an...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Vatican letter on sex abuse from '97 revealed Confidential message to Irish clergy could feed lawsuits around world Last Updated: Tuesday, January 18, 2011 | 6:34 PM ET The Associated Press...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Prof. Tibaijuka ahamishia kibao kwenye 'beacons’ Monday, 17 January 2011 19:30 newsroom NA NJUMAI NGOTA BAADA ya moto kuwashwa kwa wavamizi wa viwanja vya umma (wazi) na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na huyu muhindi kumtaka mengi amlipe fidia ya sh moja na kumtangaza kwa kumuomba radhi mara saba kwenye TV yake kwa kweli usicheze na ubabe wa pesa.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
source; http://www.darleo.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1939:ustaadhi-amiliki-danguro-la-watoto&catid=1:habari-mpya&Itemid=18 Ustaadhi' amiliki Danguro la watoto Monday, 17...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Print Back to story Afren’s Wells Target 900 Million Barrels of Oil in East Africa By Eduard...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni hali ya kusikitisha na isiyoaminika. Mwanaume mmoja (jina nimeshindwa kulipata sawia) amefanya tukio la kinyama kwa kuua watoto wake wanne, 2 wa kike na 2 wa kiume kwa kuwanywesha sumu na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna wakuu wa mikoa wanafanya kazi ndani ya mikoa Miwili,je wanawezaje kuwatumikia hawa wananchi na je gharama za kila siku kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni nani anayegharamikia? Mfano:Mkuu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom