Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ile tovuti mpya ya Michuzi (Michuzipost.com) haipo tena hewani?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MWANAMKE mmoja [31] mkazi wa Ukonga Madafu, amejikuta akikosa amani ndani ya nyumba yake kutokana na kitendo chake cha kugawa namba yake ya simu ya mkononi kwa mwanaume anayemfahamu mbele ya mume...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Jamani wana JF naomba michango yenu kuhusu ule ubadilishaji wa magari kutoka mfumo wa kutumia petroleum fuel kwenda kwenye gas uliokua unafanywa na TPDC umefikia wapi? Kama kuna mtu mwenye taarifa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, Brown Ole Suye, amemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Ole Kone, kwa kuchochea mgogoro wa ardhi kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MHASIBU wa Mamlaka ya Maji Safi na Taka jijini Mwanza (Mwauwasa) Moses Ndaki ameripotiwa kutoroka kazini na kutokea upotevu wa Sh 370 milioni. Habari za ndani kutoka katika mamlaka hiyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JINAMIZI la migomo vyuoni linaendelea, safari hii ni zamu ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu cha Mkwawa (MUCE) mkoani Iringa ambao wanafunzi wake waliamua kugoma wakidai kucheleweshewa fedha za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hivi mie nimechoka jamani kusoma jinsi watu wanavyoandika english vibaya tena sio fb tu. wanaumiza na vichwa maana mara nyingi inabidi ujipige kichwa wengi hata madakika mengi kuweza jua walitaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amekiri kuwa Chuo Kikuu cha Dodoma kina matatizo makubwa likiwemo suala la uongozi kwa baadhi ya vitengo. Kutokana na kubaini hali hiyo, jana, Pinda alimuagiza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya baadhi ya utajiri wa Mh. Chenge ulioibuliwa na gazeti maarufu nchini Uingereza The Guardians imewashitua watu wengi wakiwemo cabinet members wenzake. Maneno mengi yataongewa sana lakini...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Viongozi wa dini wamnusuru mfanyabiashara Na Gladness Mboma SERIKALI wilayani Mbarali imewapongeza baadhi ya viongozi wa dini kwa kuzima jaribio la kutaka kuuawa kwa mwekezaji wa shamba la...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Nasikia kuna sheikh mmoja ana glosari ya kuuza pombe, pia sheikh mwingine ni mkristo.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya mahakama ya usuluhishi wa biashara ya kimataifa kuipa ushindi kampuni ya Dowans dhidhi ya TANESCO katika shauri lao la madai na kuamuru malipo ya zaidi ya bilioni 100 (94bn za ngeleja na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, nimekuwa nikijiuliza mwenendo wa hizi Radio station mbili ambazo huwa nazisikiliza kwa vipindi vyao maalumu. Nimeshituka kumsikia Regina Mwalekwa akiwa na Kibonde kwenye kipindi cha Jahazi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jamani naomba wenye uzoefu na hii mifuko ya pensheni hasa PPF,NSSF na LAPF atueleze au afanye analytical comparison kati ya hii mifuko.imekua ni kawaida sana kwa wale wanaoajiriwa kwa mara ya kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana mmoja anayesoma katika chuo cha kimoja kilichopo huko maeneo ya Uwanja wa ndege alipata dhahama inayotia uchungu sana maeneo ya Posta. Mkasa wenyewe ulianza hivi: Kijana huyo alikuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku ya jumapili ya tarehe 16 January kwenye kipindi chenu cha matukio yaliyojiri Arusha kati ya wanaharakati wa Chama cha Chadema na polisi kwenye kipindi chenu kwenye TV ya TBC 1 ni uchakachuaji...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu jana nilikuwa na marafiki zangu wakurya ktk story 2kaongelea vurugu za a town yani nilichoka wananimbia kwanza isingeisha cku 1 nakwakuwa polic waliua bac ungekuwa ugomvi wakudumu kila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kazi ipo sasa wikileaks kutangaza account za ma politicians kama 40. hivi mkubwa atapona kweli chenge je?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I’m thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA…. Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, amesema tatizo la matumizi mabaya ya fedha za halmashauri limechangia kudhoofisha utoaji wa huduma na kupunguza kasi ya maendeleo nchini. Kauli hiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom