Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anastahili pongezi Bi Shija Maige (33) mkazi wa Kahama Shinyanga kwa kujifuangua salama watoto watano salama na wenye afya nzuri. Lakini hivi serikali yetu huwa inawapatia msaada wa kulea endapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NINGEPENDA TANZANIA YA HIVI: Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora, huduma bora za afya, fursa nyingi za ajira za kuajiriwa na kujiajiri, viongozi waadilifu, Uzalishaji viwandani na kuuza nje...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Kuna wimbi kubwa la wageni kuishi nchini kama wawekezaji lakini kwenye maeneo yanayoweza kufanywa na watanzania . lakini cha kushangaza msako huwa unafanywa kwa wachina tuu na si wahindi na jamii...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa mashabiki wa HOROSCOPE na wale wenye kutaka kujua na kusoma nyota zao: Someni hapo chini: Astronomer Parke Kunkle says that due to changes in the Earth's alignment the dates of many zodiac...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
WATU sita wenye asili ya Somalia wanaotuhumiwa kuwa maharamia wamekamatwa mkoani Pwani na kukutwa wakiwa na silaha kali za kivita na mabaki ya risasi zilizotumika. Miongoni mwa silaha hizo ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
JESHI la Polisi nchini halistahili kulaumiwa kwa mauaji ya Arusha, kwani halikuwa na njia ya mkato ya kujihami zaidi ya kufanya lilivyofanya. Hiyo ni kauli ya Imam wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Watu wa Arusha hawapewi heshima badala yake wanafanyiwa vitendo vya ukatili. Tunakumbuka Matokeo ya uchaguzi wa ubunge yalicheleweshwa makusudi,hii ilisababisha 'unnecessary chaos' na hata mbunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Abraham Lincoln was elected to Congress in 1846. John F. Kennedy was elected to Congress in 1946. Abraham Lincoln was elected President in 1860. John F. Kennedy was elected President in 1960...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Licha ya mpangilio wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kujengwa kwa mpango ambao ungekwaza juhudi za chuo kugoma kwa mkupuo kutokana na kila kitivo kuwa mbali na kingine, mgomo wa kwanza na mkubwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pinda aingia mitini, ashindwa kukutana na wahadhiri • Wanafunzi Kitivo cha Elimu wamteka DC na Danson Kaijage, Dodoma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
POLISI wanatuhumiwa kumtelekeza mtoto Juma Hamza (12) waliyempiga risasi na hivi sasa hali ya mtoto huyo ni mbaya kiasi cha kumlazimu kutolea haja kubwa katika kidonda kilichotokana na jeraha la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kila ikifika jumapil utaona wale ambao hatupendi kwenda church tunaingizia vitu kibao, mara oooh leo nmeamka vibaya siendi church, mr dah nlitaka kwenda ibada ya asubuh ila nmepitiwa, mr umeme...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ndivyo walinzi wa "Usalama wa Raia" wanavyotufanyia Watanzania kila uchao. Mpaka lini? Polisi wamtelekeza mtoto waliyempiga risasi Saturday, 15 January 2011 08:58 Source: Mwananchi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wana jf. 'Watoa misaada' kutoka jumuiya ya ulaya wamelipa Baraza la Mawaziri uhai usiozidi miezi 18 . Ktk kipind hicho ni lazima Jk atalivunja na kuunda upya. Na wameonesha kuwa mawaziri walio...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
IDADI ya taasisi zinazojiingiza kwenye mgogoro wa CCM na Chadema, uliosababisha polisi kuua watu watatu na kuujeruhi 29 mkoani Arusha inazidi kuongezeka, baada ya Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bandari wazuiwa kufichua uozo kwa JK na Hellen Ngoromera AHADI ya Chama cha Wafanyakazi wa Shughuli za Meli na Bandari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema Iringa wampa mbunge wao siku 7 ajiuzulu Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa; Tarehe: 14th January 2011 @ 23:40 HALI ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani ndugu wanajamvi,mbona hakuna mtu anayetuletea habari toka Karimjee Hall??
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano ya Umma), Stephen Wasira, amemtaka Kamanda wa Polisi Polisi mkoani Arusha,Thobias Andengenye, kuwaomba radhi waandishi wa habari waliopigwa na polisi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MKUU wa Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, Nape Nnauye kwa kushirikiana na polisi wilayani humo amefanikiwa kukamata meno ya tembo yenye uzito wa kilo 180.3 yaliyokuwa yakisafirishwa katika basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom