Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kuwakaribisha wanajf wote wanaoweza kufika kilimani club dodoma leo kuhudhuria sherehe ya kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa kwanza CBE Dodoma.
''Ukisikia paaa jua imekukosa, aliyepiga amefanya makosa'', ni nini hii, ni risasi.
Kuna kitu kimoja kinakera sana, nilijaribu kuuliza nikaambiwa si hitilafu ni makusudi tu, kitu hicho ni mlio...
VITENDO vilivyofanywa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Lawrence Masha na aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini Monica Mbega, ni aibu kwao, kwa familia zao...
Mamboz ma great thinkers? Hivi,
Nikiweka post inayohusu eg mapenzi ni lazima hicho ninachoongelea kiwe kinanihusu mimi?
Cann't i say something on behalf of someone?
Halafu, tunatakiwa...
Davis kutoka Uganda ameshinda TPF 4 baada ya kumshinda Mtanzania Peter Msechu. Msechu anakuwa mshindi wa pili - Nampongeza na kumtakia heri. Davis anashinda shs milioni tano za Kenya!
KATIKA kile kinachoonekana kuithibitishia jamii kuwa nyumba za ibada si mahala pa siasa, Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga limewafukuza na kuwazuia kushiriki shughuli za kanisa zaidi ya waumini...
Wakuu baada ya Timu ya taifa ya kenya kufulia kwenye mechi zake zote sasa kabla ya mechi ya leo dhidi ya Uganda kocha wa timu ya taifa ya Kenya bwana JACKOB MULEI aliwaambia wachezaji wake kuwa...
WADAU NINA MASHAKA MAKUBWA NA UADILIFU WA ZITTO KWA KAMBI YA CHADEMa, matendo na matamushi yake yananitia mashaka kama bado anaimba wimbo wa ukombozi wa tanzania kwa sauti ya Chadema.
Wana JF, Tunaendelea kuyafanyia kazi kwa undani ili yakiwekwa isije onekana blabla, tupeni muda........ Ila ukweli kuna mbinu na siasa chafu zinafanywa na kundi la mafisadi wa CCM na watetezi wa...
Wakuu tumeshuhudia nchi ya kwanza ya Afrika kuwa na marais wawili. Lakini cha kushangaza ni pale tunapoona wakuu wa Afrika wakimtuma Bwana Mbeki eti aende ku-solve mambo wakati inajulikana kwamba...
Victor Kinambile, Tabora
POLISI mkoani Tabora, wamewaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na kufanikiwa kukamata bunduki aina ya SMG, magazine tano, risasi 165 na bomu la kutupa...
Rais wa serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndugu Mathias Simon Kipara anataka kuleta Mgomo.
Kipara kama rais wa DARUSO ameshindwa kufuata maazimio ya bunge la Daruso na kwa...
NI dhahiri Watanzania wengi tunafahamu umuhimu wa kuwa na simu za mkononi katika dhana nzima ya kurahisisha kupata mawasiliano miongoni mwetu, hali ambayo kwa namna moja au nyingine inaharakisha...
TWO people have died in separate incidents including one who committed suicide at Kimara Temboni Area in Kinondoni District on Friday.
The Kinondoni Regional Police Commander (RPC), Charles...
THE governing council of Sokoine University of Agriculture (SUA) has appointed Deans of Faculties at Moshi University College of Cooperative and Business Studies (MUCCOBS), which became its...
TANZANIA Communications and Regulatory Authority (TCRA) has disputed a figure showing that the country has only 520,000 internet subscribers. This means the country ranks below Kenya with 7.8...
INAWEZEKANA Watanzania wengi watakuwa wamesahau kabisa tuhuma nzito zilizokuwa zikiwalenga baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali katika kipindi cha miaka mitano iliyopita chini ya uongozi wa...
MIKAKATI ya kuwakwamisha kiutendaji Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na Naibu wake, Dk. Harrison Mwekyembe, inadaiwa kuanza kuandaliwa na vigogo wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.