Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
nimiona katika Wavuti. com kuwa TANESCO wameanzisha UMEME BLOG(Umeme Forum).... SWALI... wana dhamira ya kufanyia kazi matatizo au ndo zuga za kuzidi kula hela...?!:angry::angry:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana kusikia kuwa Ndani ya Tumaini University kurasini campas wahadhiri hawaingii madarasani. huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia? Je, pesa yetu waliyopokea...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Vijana waishio eneo la Kikwajuni wamekutwa wakivuta madawa ya kulevya hadharani, hii inatokana na kasi kubwa ya vijana wa Kizanzibari kujihusisha na madawa ya kulevya. Taarifa hii imeonyeshwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Peter Slaa, amesema halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji kote nchini zitakazoongozwa na chama hicho, zitakuwa ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi na rafiki yangu siku moja tulifedheheka vibaya, ilikuwa hivi; Enzi zile tukiwa shule, Wakati wa likizo nilikwenda kwa rafiki yangu kumtembelea kwao. Home kwao kulikuwa na nyumba kubwa na kila...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jumla ya wanafunzi 456,350 sawa na asilimia 95.3 kati ya 478,912 ya waliofaulu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu, wamechaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2011 katika shule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanafunzi wa vyuo vikuu vishiriki vya Tumaini Kampasi ya KCMC na Kampasi ya Masoka katika Manispaa ya Moshi, jana na juzi waliingia katika mgomo wa kutokuingia darasani ili kuushinikiza uongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) kimesema hakitasita kuwachukulia hatua madiwani wake pale watakapobainika kuwa wanaongoza bila kufuata misingi ya utawala bora pamoja na kujihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADHI ya wafanyakazi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, wamesema wamekuwa wakifanya kazi lakini wakiwa wanaendesha mgomo baridi unaotokana na matatizo mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
POLISI mkoani Tabora, wamewaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na kufanikiwa kukamata bunduki aina ya SMG, magazine tano, risasi 165 na bomu la kutupa kwa mkono. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAKATI kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi zikiendelea, mgombea ubunge wa Jimbo la Tandahimba ana mpango wa kufungua kesi tofauti; kumshtaki kamanda wa polisi wa mkoa kutokana na askari wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 47 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi sugu waliokamatwa baada ya msako mkali uliofanikisha kukamatwa kwa magari 12 ya wizi, pikipiki...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
KATIKA kuhakikisha fedha za mfuko wa maendeleo ya jamii zinafanya kazi zilizokusudiwa kwa ajili ya ustawi wa nchi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Uhusiano wa Jamii na Uratibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe ameishukia Sekretarieti ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, akidai imeshindwa kutumia mamlaka iliyonayo kuwabana vigogo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na hali ya mambo ilivyo hapa nchini na haja ya kuongeza kasi yetu ya maendeleo kwa wananchi wa nchi hii, napendekeza tuyakabidhi Majeshi yetu, chini ya uongozi wa JWTZ, majukumu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu tangu zamani nilikuwa na ndoto ya kuanzisha kituo cha redio kwa ajili ya vijana wenzangu ili waweze kusikika, naona sasa ni muda muafaka wa kufanya hii kitu. Naombeni mtu yeyote mwenye...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
ARUSHA PRESS CLUB (APC) P.O BOX 6011 ARUSHA, TANZANIA TEL; 0713-231752 / 0754-299861 Email;arushapressclub@gmail.com TAMKO LA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali ya Vifaa katika Hospitali yetu ya Muhimbili inasikitisha sana na ninachelea kukubali kuwa inastahili kuitwa Hospitali ya Taifa. Hivi inaingia akilini kweli kwa Hospitali ya Muhimbili kuwa na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkurugenzi akanusha vigogo kupewa viwanja Arusha Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 3rd December 2010 MKURUGENZI wa Halmashauri ya Arusha, Wilayani Arumeru, Halifa Hida, ametoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkurugenzi Muhimbili azomewa mbele ya waziri na Mariam Mtikita KAIMU Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom