Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadai Rais Kikwete ana kigugumizi kuwateua BAADHI ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), hasa wenye maslahi na nafasi kadhaa za uteuzi, wanadai kwamba Rais Jakaya Kikwete anakosa uamuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD..... AFRICAN LEADERS Abdulai Wade age 83 Hosni Mubarak ( Egypt )...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BARAZA la Mawaziri 50 lililotangazwa na Rais Jakaya Kikwete Jumatano wiki hii limebeba idadi kubwa ya mawaziri wengi walio na majeraha makubwa ya kisiasa, kiuongozi, kimaadili na kitaaluma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nimeanza kupevuka na kuijua siasa enzi za utawala wa mwinyi na mkapa. niliwahi kuambiwa kama siyo kusoma somewhere kuwa vikao vya baraza la mawaziri ni siri. Mliokuwa mmepevuka enzi za nyerere au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sadick Mtulya WAKATI mawaziri na manaibu wawaziri wakikabidhiwa magari mapya, baada ya kuapishwa Jumamosi iliyopita, serikali imeibuka na kusema sio mapya ni ya zamani. Kauli hiyo inaibua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania Tourism Today: Facts & Figures Tourism plays a key role in the country's economy; it is one of the main sources of foreign exchange and it offers employment opportunities both directly...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Kifungu cha 63 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaanisha wazi majukumu ya Mbunge kuwa "Kuisimamia na Kuishauri Serikali". Maana yake ni kuwa haiwezekani watanzania wote tukaende...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Great thinkers. Kuna njia mbali mbali za kuupa ubongo wako chakula. Isaac and Albert were excitedly describing the result of the Third Annual International Science Fair Extravaganza in...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Juzi nilimsikia Hamad Rashid akikiri kuwa kamati waliyoiunda na vyama vingine vidogo vya siasa haitambuliki kikatiba wala kikanuni. je kwa kukiri hivyo Hamad ataleta mbu bungeni, au ataongeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi hatutaki ziara please?? Mmeanza ziara tu, mara kwenda kufungua majengo, waachie wakuu wa mikoa, tunataka msolve issue mhimu kama ajira, elimu, maji, afya, miundo mbinu na michezo. WAZIRI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nashida ya kuonana na Mheshimiwa Rostam Aziz kuna mwenye contacts zake anisaidie tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKATI mawaziri na manaibu wawaziri wakikabidhiwa magari mapya, baada ya kuapishwa Jumamosi iliyopita, serikali imeibuka na kusema sio mapya ni ya zamani. Kauli hiyo inaibua utata kutokana na kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa Mkoani Kagera huduma ya msaada wa sheria kwa watu wasio na uwezo haipo. Katika hali hiyo tegemeo la mtu wa kawaida hasiyekuwa na uwezo wa kuajiri wakili msomi na mwenye leseni ilikuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanasheria MKuu karipotiwa na gazeti la Nipashe ya kuwa Chadema kumkacha JK pale Bungeni hawakuvunja sheria ila walikosa ustaraabu.......................... Kauli hii imekuja imechelewa kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NAOBENI MSAADA WA MAWAZO KWANI NINAPO KUWA KWANYE GAME NIKICHOCHEA MARA MBILI TU AU TATU KWA ROUND YA KWAZA BASI GOLI TAYARI. NIFANYE NINI ILI NISIWAHI KUSHUSHA MAPEMA?:hug:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais kikwete inaonyesha hakubaliani kabisa na baadhi ya sheria za utumishi zinazotumika hapa kwetu Tanzania kwa mfano; 1. Sheria ya utumishi inayotaka mtumishi wa umma apewe mwaka mmoja kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiongozi anapoteuliwa na kusema sijaja kuigiza anamaana?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Mafia" wa Marekani kaskazini walianza kushika vyama vya wafanyakazi. "Mafia" wa Tanzania wanashika vyombo vya habari. Nawatahadharisha wa Tanzania, wachunge sana wafanya biashara wenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mniambie njia rahisi ya kutuma mzigo mdogo kuingia Tanzania kutoka nje kama ASIA,AMERICA.ULAYA.e.t.c,EMS ni ghali kwa kilo moja utoza US $ 25,je kuna njia nyingine tofauti na hiyo ambayo ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwenye ukurasa wa 4 wa gazeti la the Arusha Times la leo................wametoa ushauri usinunue hii T-Shirt yenye maandishi yasemayo.........................."Pray for Obama...........Psalm...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom