Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hello bandugu, Kati ya vipindi ambavyo huwa sijutii kuviangalia ni KIJAMBO CHA WIKI kinachorusha na Mlimani Tv, huwa kinaandaliwa kwa ustadi mkubwa na Elbert Mkoko, labda tu nichukue fursa hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam, Ndugu zangu nilikuwa nataka kujua kisheria mbunge ambaye amefunguliwa kesi ya kupinga matokeo anaendelea kuwa muwakilishi wa wananchi au jimbo linakuwa halina muwakilishi hadi kesi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, Ndugu zangu nilikuwa nataka kujua kisheria mbunge ambaye amefunguliwa kesi ya kupinga matokeo anaendelea kuwa muwakilishi wa wananchi au jimbo linakuwa halina muwakilishi hadi kesi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatana na mjadala ufuatao kwenye facebook familia ya Zakia Meghji imempigania dhidi ya wachangiaji wanamtuhumu kuwa ni fisadi Tangu majina matatu ya wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa...
0 Reactions
42 Replies
15K Views
hi,habari jamani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wajameni, mie nina hili dukuduku langu kwa kuwaomba ma-moderators wamkaribishe huyu bwana humu jamvini! maana mie namfurahia sana huyu ndugu ana hoja za nguvu! na ukichanganya na changamoto za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana Waziri Mkuu ameahidi kuchanga milion 10 kila mwaka mpaka ukomo wa utumishi wake ili pesa hizi zitumike kuwasaidia wanafunzi kutatua matatizo yao ya malazi, huyu ni Waziri Mkuu na mtendaji...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Makamba alijuwa wazi uwezi shiriki ufisadi na ukaweza utetea. ndio maana alipiga marufuku ccm kushiriki midahalo. wenyewe tumejionea jinsi CUF/ccm b walivyojikanyaga kwenye mdahalo.ukishirikiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hodi wa JF,miye mwenzenu nmeamua kujiunga na great thinkers,naombeni mnipokee mwenzenu nina mengi yanayonitatiza najua great thinkers mtanisaidia!tanx
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Haya sasa mambo yashafika mjengoni...Kina Naomi Campbell haoo. Just take a minute to pass by this link below to see these naked photos of your sisters,for sure now Tz we are in a LAISSEZ-FAIRE...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii nji kweli inakatisha tamaa...Hebu ona maisha ya huyu mpiga kura wetu ambaye ana aminishwa kuwa uchumi umekuwa kwa kasi ya ajabu... Inasikitisha... Kazi kwenu wana JF
0 Reactions
8 Replies
2K Views
p { margin-bottom: 0.08in; } Kwa wale waishio tanzania sijui kama uchunguzi huu mlishaufanya ama vipi ni kwamba ukitazama kwa makini noti ya shillingi elfu moja na noti ya shilingi elfu mbili(ila...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Sasa hivi imekuwa tabia ya mashirika yetu kutokutoa huduma bila taarifa. Tanesco baada ya uchaguzi kumalizika kuna mgao wa rejareja unaendelea. Kila siku umeme unakatwa tena kwa masaa mpaka 8...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mods na wapendwa wanaJF, Nimekuwa kwa muda mrefu najaribu kufungua sehemu ya dini ili kuweza kuweka post zitakazotuelimisha na kuwa karibu na Mungu lakini inasema kuwa ni kwa "members only" mimi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Teenagers get the vast majority of their information about sex from their friends. This is likely to be less accurate than information from their mum and dad. The difficulty parents and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau leo hii pamoja na wenzangu kama elf 5 hivi tunatunukiwa rasmi shahada zetu ndani ya mlimani city. Bila shaka mawazo pevu yanaongezeka ndani ya jf na jamii kwa ujumla
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF nimekaa na kutafakari sana kuhusu suala la mgao wa umeme ambalo mwisho wake hakuna ajuaye. Lakini mara zote tunawalaumu TANESCO kwa kuwa ndo tunaowaona wakikusanya vibil vyao kila kukicha...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wana jf, habari za wkend, kuna habari nimesikia zimenisikitisha sana. Ati mkuu wa mkoa wa lindi na kaimu mkuu wa mkoa wa dsm ktkt ya wiki hii wakati akitokea ddm kuelekea dar, alipofika maeneo ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mungu alikupenda zaidi yetu na ndo maana akakuita ukakae nae kwake upate raha ya milele mama nasi pia tulikupenda ila tu ndo upendo wa Mungu wetu uliozidi na usiokoma ukaonekana mbele zake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji kubadili username yangu, nimejaribu kwenda kweny my profile lakini sijaona hiyo option. Naomba msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom