Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mods, Sijui nini hasa dhumuni lenu lakini kuiunganisha thread yangu na nyingine sidhani kama mmenitendea haki yangu ya msingi. Nimemuuliza mhe swali ni matarijio yangu ingekuwa rahisi yeye kuona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajameni wanaJF, kweli hii inasikitisha, rafiki yangu amemaliza course work yake kama kawaida na kusoft bind thesis yake mapemaaaa miaka miwili iliyopita, tatizo limekuja pale kazi haikupelekwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Miaka 6 nimefuatilia hati ya kiwanja changu wizarani bila mafanikio,nimetumia pesa nyingi,kipo Iringa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wana JF, Nataka kujua juu ya kampuni hii ya simu; Iliingia nchini kama Celtel, mwaka 2008 ikabadilika na kuwa zain nayo inasemekana baada ya kuuzwa, sasa hivi imebdilika na kuwa airtel...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Moderator na wana JF Kulikuwa na thread kuhusu usalama wa taifa.... iko wapi? Kuna news motomoto za kuweka! Please.... urgent... naomba link yake. Nimejaribu kuitafuta bila mafanikio!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Closed
Wana JF naomba kuuliza hivi Majimbo yanayochagua wabunge ambao ni Wahindi au Waarabu kama Singida mjini,Igunga au Ilala huwa hakuna Watanganyika wenye sifa za kugombea au huwa inakuwaje? Naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kitendo cha baadhi ya makampuni ya simu kupigwa majina kila baada ya muda fulani kibiashara, yaani kubadilishwa majina au umiliki mfano, celtel kuwa zain, mara airtel, au mabitel halafu buzz, tena...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF. Nakuja tena na maada nyingine ambayo yaweza onekana ni ya kawaida sana lakini kwa great thinker hili suala lina impact kubwa sana katika maendeleo ya taifa letu. Africa tumekuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF najua wengi mnaweza kushangazwa na topic hii, lakini sina lengo la kukufuru hapa bali tujadili kama great thinkers. Nimeangalia na kutathmini maisha yetu ya kila siku. Jiulize kuhusu...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Gazeti la Habari Leo linatuhabarisha ya kuwa ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa serikali haina meno ikilinganishwa na ofisi nyinginezo Afrika za hadhi yake...................
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: Yahoo friends Friends, This is relevant to all of us... Enjoy One young academically excellent person went to apply for a managerial position in a big company. He passed the first...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeskia kuwa regina mwalekwa amesepa redio one na kwenda kule kwa yale majike yasiyojua kiswahili fasaha i mean kibonde, gadna etc!! Tena jana nikaona katumi ikimwonesha jamaa aitwae miladi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Jamani naomba kujua huyu nakaya sumari Bongo fleva,mwanasiasa yu wapi?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Sasa uchaguzi umekwisha tunakwenda na mwendo wa utajiju stili ambapo 1. Mgao wa umumu kama kawa 2. Mgao wa maji kama kawa 3. Majembe bararabarani kama kawa 4. Sticker za fire kama zamani 5...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kutokana na desturi zetu, kujamba au kutoa hewa ile chafu mbele za watu si vizuri na mara nyingi wazee wamefikia hadi kusingizia wajukuu au watoto kuwa ndoo wamechafua hewa kumbe ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[ Ali kiba na JK
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Eti kuita akina mama beijing inahashiria kuna umoja wa kujadili maslahi ya kina mama,sasa je kina baba wao wanitwaje .....au wao hawana maslahi,au labda tujiite hongkong.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wanajamii huku kijijini napata shida kweli....jana jirani yangu mama preta kaja, juzi alikuja mama alfani ananiuliza kama bado nawasiliana na mwanae aliepo mjini?nikamjibu mama siku hizi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Gazeti la majira limetupasha ya kuwa ile kesi ya ufisadi wa rada yetu ya kijeshi kuanza kunguruma kwa mara ya kwanza uingereza kesho...................
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom