WATU watatu wamepoteza maisha katika matukio tofauti jijini Dar es salaam, mmoja akikandamizwa na mlango wa kivuko akiwa ndani ya gari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime, alisema...
FIKIRIA uko hapo tuseme Manzese basi. Unapita njia yako unasaka shilingi ambayo inaendelea kuota matairi na mbawa.
Mara ghafla unamwona kijana naye anapita akiwa na mbwa, lakini kamfunga kamba...
Wanajamii, mimi nilisoma na Premmy Kibanga pale Institute of Journalism and Mass Communications mwaka 2000 yeye akiwa anachukuwa post graduate in Journalism...
Huyu dada hivi sasa ni mwandishi wa...
Nimenunua modem ya zain airport leo hii na kuambiwa kuwa nimepewa 8GB kwa mwezi mzima. Mpaka sasa inakataa, inaleta error code wakati wa kudial. Nimepiga zain call centre toka saa kumi na nusu...
Meneja mkuu, mhasibu, mtunza store wote wakiwa waajiriwa Wa vodacom
mkoani kilimanjaro head ofice wamekula njama na kuondoka na kitita kikubwa cha pesa. Ofisi ya vodacom mkani humo iliyopo karibu...
Im worried about thing that tanzania plan to build nuclear plant eti kama part ya kusolve power shortage. Hii inaingia akilini kweli? do we have an area for waste disposal? hivi watu wanakumbuka...
Katika miaka ya 90's kulikuwa na gazeti moja matata, makini na jasiri likiitwa Wakati ni Huu, nakumbuka Mkajanga alikuwa nafikiri ndiye mhariri mkuu. Kwa kweli lile gazeti lilikuwa linatoa habari...
Habari wanaJF naomba msaada wa haraka kutoa taarifa kwa wahusika wa jeshi la polisi kwani kuna basi limetekwa mbele yetu zaidi ya nusu saa na hakuna polisi wala nini tuko kijiji cha makere wilaya...
Gazeti la Nipashe linatuhabarisha ya kuwa Mheshimiwa Dr. Slaa ambao watanzania wengi tunaamini alishinda Uraisi mwaka 2010 akisema ya kuwa wabunge wa chadema hawana uhasama na JK ila na jinsi gani...
Hatimaye hukumu ya Chenge itasomwa tarehe 16 Desemba 2010. Hivi tutarajie huyu jamaa akipelekwa Segerea kutumikia adhabu ama itakuwa makosa yalikuwa ya marehemu?
Natafuta nyumba au vyumba vya kupanga.....vyumba viwili kimoja room na kingine kama sitting room,choo na bafu ndani....uwezo wangu 100,000.00 TZS na naweza lipa miezi sita mpaka saba kama...
Thamani ya Gavana wa Benki Kuu Tanzania sawa na wakulima 12,700
KUNA mjadala ulianzishwa katika moja ya mitandao ambamo Watanzania kokote walipo ulimwenguni hukutana kubadilishana mawazo...
Naona sasa imekua staili ya TBC kumtumia huyu Daktari kama msema chochote wao kwa upande wa wanazuoni baada ya kuona wale maarufu wote kama Lwaitama (CCM mfu) na wengineo wanataka mabadiliko. TBC...
Jamani,kwa tuhuma zilizotolewa na Dr. Slaa kuwataja mafisadi kumi na moja(11) akiwemo Jakaya,ni ukweli usiopingika kabisa.Nasema hivi kwa sababu kati ya mali alizonazo mtu huyu zinazidi sana tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.