Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nakumbuka niliwahi kuazima suruali ya jirani yangu dingriz nikamwambia naenda town siku tuliyo ahidiana sikutokea nikiwa bado naosha na raba za bora nimezipaka chaki zimekuwa nyeupeeee nashati la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Reviews: Corruption in Kenya: How to ruin a country | The Economist Review: It's Our Turn to Eat by Michela Wrong | Books | The Guardian Compare majirani zetu before and after...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Alichokifanya Maalim Seif Sharif siku ya J,tatu1/11/2010 ni nusu ya kupigania jihadi ya nchi yake. Papatu papatu zilizokuwa zikiendelea na maneno makali yakutupiana na kutishana ndani ya...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Dr. Slaa nakupongeza sana kwa kuleta mabadiliko makubwa katika demokrasia ya nchi yetu. Umewafanya watawala wapige magoti kwa wananchi kuomba kura maana walijua wazi kuchakachua pekee kusingetosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania Daima ya leo imeripoti polisi wamemvamia mgombea wa Chadema nyumbani kwake na kumwibia shilingi milioni kumi..................................soma habari leo kwa taarifa za...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna jambo moja ambalo watu wengi hulichukulia mzaha, masihara au utani wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha (mke au mume) nalo ni suala la mtoto wa kwanza kuzaliwa na mtoto wa mwisho kuzaliwa...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Hongera Kikwete kwa kutangazwa kuwa mshindi....Duh hapa Prof Lipumba kaniacha hoi, yaani hongera kwa kutangazwa na sio kushinda!!!!!!!Kweli Prof Yuko makini mno. Nchi inaongozwa na aliyetangazwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Daktari abaka mtoto wa ofisa usalama na Christopher Nyenyembe, Mbeya DAKTARI wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Haruna Nyagoli, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa, kwa kosa la kumbaka...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nakumbuka katika mchakato wa kuelimika, kwenye topic ya Organization Design, Dkt. Ngirwa alieleza kwa ufasaha sana kuhusu umuhimu wa kuunda muundo wa taasisi ambao unauwezo wa kujiendesha wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapi SUMATRA....??? Sasa hivi nimepanda basi kuelekea dom (baada ya kusheherekea ushindi ubungo na kawe) linaitwa SHAHBAL, tiketi imeandikwa sh 12,000 nauli lakini unalazimishwa kulipa 20,000...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za hivi punde zinasema Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mh. Dr. Ali Mohamed Shein amemteua jaji Omar Makungu kuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar na ataapishwa kesho...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
JAMANI KILA SIKU TUMEKUA TUKISIKIA JWTZ WAMEJIZATITI KULINDA MIPAKA YETU CHA AJABU WAHARAMIA WAKISOMALI SASA WAPO KIGAMBONI WANATEKA MELI!JEE KAZI YA AMIRI JESHI NA JWTZ NI KULINDA KURA NA KUBEBA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dk Shein kaenda kuongoza Serikali ya GNU Zanzibar na nafasi yake Kukamatwa na Dk Bilal. 1. Je Pinda atarudi kwenye PM? Werema Je? 2. Mwangunga, Burian, Bendera, Mahiza, Kamala, Masha, Omar...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamii Salaam Leo nimehakikisha kuwa kuna watu wanajua kutimiza ahadi. Huyu kijana alisema atahakikisha kuwa kero zote za AMUA=Afya, Miundo mbinu / Maji U? A? zinafanyiwa kazi haraka. Sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mpaka sasa Wzanzibar wamepigwa na mshangao mkubwa wakutaka kujuwa nikitu gani kilicho jiri ndani ya ukumbi wa Bwawani?. Wengi wamesikika wakisema nilazma Maalim Seif Sharif awaeleze ukweli wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
leo jioni mtandao umenikatalia kujoin na JF members wenzangu ili kubadilishana hili na lile baada ya uchaguzi. Nilijaribu kama mara mbili ikawa inaniletea message za ooops! Nikaanza kusikitika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh.Kapuya rudi kuiokoa Bendi yako inakufa kifo cha mende. Kuna taarifa rapa wao kanal top na daliya kabastone wamejiunga na rufita conn. Ya akina banza stone teacher na vilevile serengeti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wanajamii wenzangu naomba msaada wa soft copy ya explosives act nimejaribu kutafuta kwenye website ya wizara husika bila mafanikio.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
If you can't see this e-mail, click here. Dear Enny, Every year, the US State Department is giving away 55,000 Immigration Visas (also known as Green Cards) to people just like you, who wish to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia matangazo kwenye TV kuwa kama kuna habari haijakupendeza, uwaambie. je wao ni kama mahakama? Magazeti yanayoendekeza udini na kutukana watu kama Habari leo, Al-kaida(sorry...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom