Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya urais, Prof. Lipumba kwaniaba ya wagombea wenzake alipewa fursa ya kutoa neno; katika nasaha zake, alianza kwa kumpongeza JK kwa kutangazwa kuwa mshindi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 amedondoka leo kwenye jengo la Redcross lililopo mkabala na barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kufa hapo hapo. Mzee huyu mwenye asili ya kiasia kwa mujibu wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu Welcome to the official global voting platform of New7Wonders | New7Wonders si vibaya na sisi watz tukashiriki kupaisha vitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutoka ndani ya CCM kuna habari kuwa viongozi fulani wazito wamejiandaa wakishirikiana na JK kuhakikisha kuwa dola inarudi kwa 'network members'. Hii ni kwa ajili ya kujiandaa na ushindi wa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
She is a Hero of her age.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natamani siku moja tuwe kama Chile.
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Czech students launch nude cleaning service to pay bills XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX A group of students in the Czech Republic, furious over the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
WADAU; Kusoma hapa Bongo ni kazi ngumu kweli. Vijana sio kama huwa hawaelewi masomo; ila VISHAWISHI.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
DC wa zamani hoi kitandani Send to a friend Monday, 08 November 2010 01:13 0diggsdigg Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbalali, Mkoani Iringa Hawa Ngurume, akizungumza na waandishi wa habari wa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama kawaida yangu leo nimeendelea na mihangaiko yangu ya kila siku lakini ilipofika jioni nikapata taarifa ya uhakika kwamba bei ya petrol kasulu sasa ni shilingi 6000 kwa lita lakini ya diesel...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepitia rundo la ahadi za JK lakini nilishtushwa kujifunza ya kuwa wastaafu wa EAC hawamo kwenye mipango ya CCM ya kuwalipa haki zao za kimsingi za takribani miaka 33 hivi........... Leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii forum, kuna sheria inayokataza kulima mazao sehemu za mijini mazao marefu kama mahindi. Sheria hiyo hutekelezwa na baadhi ya wakurugenzi wa miji michache hapa inchini, Iringa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Great thinkers, nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu bila kupata jibu. Hivi ni kwanini wakati mwingine magari ya wagonjwa yanabeba maiti. Naomba nitofautishe kuwa kama mgonjwa amefia kwenye gari hilo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajameni, ktk pitapita yangu ktkt ya vijana wa chuo kikuu nimenusa debate juu ya mbunge mteule wa jimbo la bumbuli, waziri mtarajiwa na mgombea uraisi mtarajiwa (2015 elections) vs facebook...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Naamini watendaji wako Mh. Rais Kikwete wanasoma taarifa mbalimbali kupitia jukwaa hili hivyo watakupa salaam zangu. Ninaandika haya kama raia wa Tanzania mwenye nia njema na maendeleo na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni mzee wa miaka 84 wa Kenya anaeingia darasa la 8 kusomea sheria. Big up babuuuuuuuuuuuu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kufaamishwa kisheria hii imekaaje,mara nyingi sana hapa lugalo ukipita asubuhi una kuta wanajeshi wakiwakamata waendesha pikipiki na bajaj kwa makosa aitha kwa kutokuvaa helmet au...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Monday, 08 November 2010 21:28 Silvan Kiwale IMEBAINIKA kuwa zaidi ya sindano milioni 20 walizotumika kuwachomwa wagonjwa katika nchi za Afrika, zilikuwa na virusi vya Ukimwi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimesikia tetesi ya kwamba kuna noti ya elfu tano, can anyone proove this?
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Back
Top Bottom