Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ninawaomba wenye hekima katika masuala ya hotuba msaidie katika kuandika Hotuba ya JK ya kukubali kushindwa mimi nitatafuta njia ya kumpelekea sio kwa kumkejeli bali kwa nia ya kumtia moyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niliwahi kuona hoja hapa ukumbini mtu akihoji mavazi ya wagombea wa Chadema, hii ya wa CUF imenifutia sana! Je huyu anaweza kuunda dola? Source: Francis Godwin ni mzee wa matukio daima
0 Reactions
3 Replies
2K Views
...wengi walio ndani ya blanketi zito la CCM na kulala usingizi wa pono wanabeza kwamba baadhi ya ahadi ambazo Slaa (PhD) anasema atazishughulikia ndani ya siku 100 kwamba haziwezekani ilhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna watu wanakatisha watanzania tamaa ya kuchagua vyama vya upinzani kwa kusema ati hata kama vikichaguliwa matokeo yatabadilishwa. Napenda kuwatia moyo, kila mtu aamue kadiri ya utashi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUMIA KURA YAKO KUSAIDIA KUPATA VIONGOZI WACHAPAKAZI NA SI WASANII
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais duniani anachaguliwa kwa misingi mikubwa miwili;kwanza anapimwa kwa sera zake endelevu kuhusu uchumi na mikakati yake ya kuuimarisha na mbili anapimwa kama anaweza kuongoza vyema majeshi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanaichukia Internet. Wanatumia Internet kumhujumu Dr. Slaa. Tunatumia Internet kufahamu walichokifanya na hata walipofanyia conspiracy nzima. Tulianza na Windows 3.1, ikaja Windows 95, Ikaja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi watanzania tumelalaa??au niustarabu??ulishawahi kuwa nashahuku yakupanga NHC??Je ulijiuliza swali gani??nadhani ulikata tamaa kwa jinsi ambavyo ungelianza ukaona nindoto za mchana kwakuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza napenda kumpongeza rais wetu Mh. J Kikwete kwa nia na dhamira yake ya kuifanya Tanzania kuwa na maendeleo ya kweli pamoja na kuiwezesha na kuendeleza amani iliyoachwa na Baba wa Taifa Mwl...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huko nyuma sikutaka kuwa wazi lakini kwa vile siku za uchaguzi zimeyoyoma sasa ninawatamkia rasmi JK na CCM yake wamepoteza huu uchaguzi na Dr. Slaa na Chadema ndiyo watakaounda serikali yetu na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Posho pekee yake za serekali zinatosha kusomesha wanafunzi wote bure- chagua chadema
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani mie nataka kufanya CISCO Course(CCNA),lakini nina bachelor degree ya socail science(socilogy) na masters ya social science, ..hivi kama nikifanya hii CiSCO inaweza ikanisaidia kwenye kupata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kigogo wa Polisi akwapua bil.2/- Na Mwandishi Wetu WIKI mbili baada ya gazeti hili kuandika habari za wizi wa mabati katika eneo la Chang’ombe uliohusisha polisi, kuna habari kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KISA KILICHONITOA MACHOZI WAKATI NIPO MTWARA. Kwa wale wakazi wa Mtwara,mtakuwa mnaijua vizuri ile barabara itokayo pale Ligula Hospitali inashuka chini kuelekea kwa Jionee, Cocobeach,TTC...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Poleni sana ndugu zangu "Wapendwa" nawapa pole nikijua kuwa mliowengi hamkuwahi kuwaza kujikuta katika hali hiyo. lakini pole zaidi kutokana na maneno ya kashfa mnayoyapata kuanzia kwa watu wasio...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapa tatizo ni kwamba nauli tunatoa wapi? wadau tusaidieni,hapa tume karibishwa chakula ila mkaribishaji kajaza pili pili kibao tutaweza kula wote? soma hapa: UDSM - Users & Groups
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We're polite and progressive by day, more tribalist than even the Kenyans by night Posted Monday, October 18 2010 at 14:29 Further to my take on the creeping religious...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Halo haloooooo !!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa habarini za uko nilipata email ya mwaliko kutoka kwa bwana mmoja muhindi ikinitaarifu tar 23-26 september kutakuwa na 10th freemasson conferenc whtitesands na kwa wale wasio massons pia...
0 Reactions
72 Replies
11K Views
Back
Top Bottom