No matter what our kids and the new generation think about us,
WE ARE AWESOME !!!!
OUR LIFE IS LIVING PROOF !!!!
To Those of Us Born
1930 - 1979
TO ALL THE KIDS WHO SURVIVED THE...
nimejihuliza kuhusu hii idadi ya wana jamii forum... 23150 hivi kweli tukigawanyika kwa idadi ya wapiga kura waliojiandikisha nchini kwa ajili ya uchaguzi mkuu..jee
1. kila mmoja atatakiwa...
Katika mkutano wa jana ambao haujawahi kuonekana katika historia ya nchi hapo Mwanza, Dr.Slaa alimtolea uvivu Dr. Deriodoris Kamala ambaye alidai bei ya simenti kuwa shilingi 5,000/= haiwezakani...
Ndugu zangu nimekumbuka mbali sana nilikuwa natizama picha za Nyerere akiwa jkt,nikasikitika sana nikaona maisha ya sasa maisha ya sasa yamekosa,uzalendo, utaifa, mshikamano,Hata makazini mwamuko...
Economist Intelligence Unit
26 Red Lion Square
London WC1R 4HQ
United Kingdom
Highlights
September 2010
The president, Jakaya Kikwete, will retain his personal popularity in the...
Nilikuwa nipo chuo kikuu kimoja hapa tanzania nakunywa chai na maprofesa akatokea profesa mmoja sitamtaja jina akasema nimeambiwa(yeye profesa) kwamba ukitaka usibadili msimamo wako wa kupiga...
kwa mujibu kipindi cha jahazi cha clouds radio karatasi halisi za kura zimewasili leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa dar es salaam na kubebwa katika malori 6 ya truck and trailer kupelekwa...
Mdau Je wajua kwamba JK si makini kabisa....
Mdau hebu fungua hii video uone mwenyewe, Kumbe kweli kabisa huyu mkuu wa chama chao hayupo makini kabisa, hafai kabisa kuongoza nnchi.
Ndio maana...
Mwenyekiti wa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki - EAC - jana alijisalimisha kwa polisi kutokana na kutoa kauli ya uzushi na yenye kudhaniwa ilikuwa ya kichochezi pale alipodai...
Ya Leo Kali: Kiingereza Ni Lugha Tu, Hata Watoto Wanaongea!
( Mjadala unaposhika kasi, mjumbe hapa chini kaamua kumfungia mtu kazi. Mwenyekiti nasema tuendelee tu!)
Narudia tena bwana Mhango...
Kila Mtanzania anayepiga simu mtandao wowote, asilimia kumi (10%) ya huo muda wa maongezi, fedha hizo zinaenda kuchangia Kampeni za CCM. Kudhihirisha hili, mtu yeyote mwenye simu, chukua simu...
Kwa wale wakazi wa Mtwara,mtakuwa mnaijua vizuri ile barabara itokayo pale Ligula Hospitali inashuka chini kuelekea kwa Jionee, Cocobeach,TTC mpaka kiyangu, hii ni barabara kubwa na ina nzuri...
Kinyume na taarifa zilizozagaa kuwa ni marehemu, Super Coach Syllversaid Mziray yu hai ingawaje sasa amehamishiwa chumba cha mahututi.......................
Tafadhal wadau wa j.f Mr. Amos Buregi anatafutwa na mwanae, kwa mwenye taarifa zozote au anapopatkana mzee huyo. Inasemekana yupo Dodoma but ha2na uhakika. Mwanae anamtafuta.
Heshima kwa wote wana JF.
Natumai wengi wenu hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa taifa letu tukielekea uchaguzi mkuu.
Nina tatizo na ofisi moja ya serikali hivyo ningependa...
Him: "What would you like to have ...Fruit juice, Soda, Tea, Chocolate, Milo , or Coffee?"
Me: "tea please"
Him: " Ceylon tea, Herbal tea, Bush tea, Honey bush tea, Ice tea or green tea ?"
Me: "...
NINAAMINI TENA KUWA HUU UCHAGUZI UTAKUWA WA KUSHANGAZA NAANZA KUAMINI MANENO YA WALE VIONGOZI WA DINI.
1. KILA MTI WALIOUSHIKA CCM KWA NIA MBAYA UMETELEZA NA WAMEKUTA INA MIIBA
A. Kumchafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.