*Wadai ni sawa na kuwatishia nyau
*Wengine wadai Rais ameteleza
*TUCTA wadai amewapaisha juu
*Wapinzani waiponda, wamtaka atangaze mishahara yao
*Wadai hakuna wasomi wengine wa kuziba mapengo...
Siku ya jumamosi wiki iliyopita rafiki yangu wa karibu sana alinipa mualiko wa ghafla ambao sikuutaraji. Pamoja na hali hiyo niliitikia wito. Pale nyumbani kwake tulikuwa wageni takribani 50 wake...
:hat:
Police chief slammed over 'racist' joke
A Swedish police chief has courted controversy after he dressed up and told a joke about a black prostitute in front of a group of colleagues...
Mwandishi wa Habari wa siku nyingi ambaye amefanya kazi katika vyombo mbali mbali vya habari amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi... source; Facebook
Nimeipata hii sasa hivi.
Kwa wale walio makini, someni, kisha tafakarini. Hii ndiyo Tanzania yetu, miaka 11 baada ya Baba wa Taifa kututoka? Kila mtu sasa anautaka utajiri, kwa udi na uvumba...
Jesus told them another parable: The kingdom of heaven is like a man who sowed good seed in his field. But while everyone was sleeping, his enemy came and sowed weeds among the wheat, and went...
Ndugu wa jamvi habarini za Masiku na Poleni kwa shughuli za maandalizi ya uchaguzi,
Nimekuwa nje kwa matibabu kwa muda sasa nimerudi.Asanteni kwa mlionitumia salaam.
Binafsi naona...
Nimesoma gazetini kuwa Dr Slaa amesema kwamba JK amejialika kwenye mkutano wa kitaifa wa CHAMA CHA WAALIMU unaotarajiwa kufanyika Songea hapo kesho 3/10/2010.
Je kama ni kweli inapokelewaje hii...
Kwa yeyote mwenye taarifa, au mwenye uwezo wa kutusaidia, asubuhi ya leo, Jumapili, Oktoba 3, 2010, kwenye eneo la maegesho ya magari nje ya Kigango cha Mt. Thomas Moore, Ally Sykes Close, Mbezi...
Kuna habari zimetangazwa na Redio one kuwa Jengo la Quality Plaza (nyerere Road) linaungua, kwa wale waloko eneo la tukio tunaomba mtuhabarishe.
Mod Naomba uihamishe hii baada ya 2 hours
Toleo la leo ukurasa wa nne (Editorial/Analysis) wamekomalia tena suala ya mke wa Dr.Slaa kupitia Correspondent Msemakweli Sadiki(nadhani hii ni alias)....papa nae katuhumiwa pia....nachoka na...
Leo nimemkumbuka sana Braza Ukiwaona Ditopile Mwinshehe wa Mzuzuri....laiti angekuwepo wakati huu wa kampeni...tungepata burdani sana....sio hizi kamba na vinana
Msaidizi wa askofu, RC wakemea udini.
Monday, 04 October 2010 06:34
Na Waandishi Wetu, Bukoba
ZIKIWA zimebaki siku 27 kabla ya Watanzania kuwachagua wawakilishi wao kuanzia ngazi ya...
Zebra Finch...
Patterned feathers, previously thought to be used only for camouflage in birds, can play an important role in attracting a mate and fending off rivals, a University of Melbourne...
Jamani tuwe makini hii rushwa tunayo ipewa huku mijini tuurumie na wakazi wa mkalama moshi- hai ambao wanateswa na muwekezaji ambaye alidiriki kuwafungia daraja lao la kuvuka ambao ndiyo...
Leo katika kipindi cha power breakfast kinachorushwa na redio ya clouds walimualika meneja wa mawasiliano wa bandari ndugu Mzirai ili kuongelea suala la magari yanayokwepa kodi kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.