Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wadau habari za leo nna shida ya kutaka kufahamu kuhusu namna TRA wanavocharge ushuru wa magari toka japan hasa yale yaliyozidi miaka kumi tangu tengenezwe yaani uchakavu unachajiwaje,kuna fomula...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wenzangu ninatafuta suluhisho. sisi tuko huku ugenini pekee yetu, mzazi peke yake nyumbani africa. kaka kapoteza kazi lay off. miezi minne sasa ameishi na mimi. ameishiwa heli, gari...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
*Ofisi ya Mwanasheria wa PPF na Mkurugenzi zavunjwa *Nyaraka za siri zadaiwa kuibwa Baadhi ya wafanyakazi wa jengo la PPF lililopo barabara ya Morogoro na Samora wakiwa nje ya jengo hilo leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumetokea mauaji ya Kiongozi wa Walinzi katika jengo la PPF House Samora. Mauaji haya yanakisiwa kutokea usiku wa kuamkia leo J3. Hakuna taarifa za kuaminika juu ya kusudio na wahusika wa mauaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Swali langu kwa wana jf wajuvi wa sheria ni kwamba sheria ya ndoa inatambua wahusika wawili tu, na kama endapo mmoja atakiuka mfano kwenda nje ya ndoa au kumkataa mwenzie bila sababu za kimsingi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
XSMAS IS AROUND THE CORNER NA BILA KUSAHAU MEEE MEEE
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yule mwanasiasa machachari anayegombea ubunge wa jimbo la rombo kwa tkt ya chadema amevunjika mkono (mara 3) na sasa anapata huduma pale kcmc
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mchungaji Matiku Thomas Nyitambi kilichotokea leo huko Tarime musoma kwa ajali ya gari .Marehemu alikuwa anasafiri na Mkewe ambaye amepata majerahaa '' Mungu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Taarifa kutoka Bukoba,nilizopenyezewa na mdau mmoja aliyeko huko ni kuwa mkuu wa mkoa amelazimika kuhama katika nyumba iliyoko IKULU ndogo ya Bukoba kumpisha mke wa JK anayefanya ziara ya kichama...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Gwynne Dyer THE headlines in the Western media all said more or less the same thing when Israeli Prime Minister Binyamin Netanyahu pulled the plug on the latest round of the “Middle East peace...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
leo ktk mapitio ya magazeti kuna kichwa cha habari juu ya kuhahirishwa kwa mitihani hiyo,je kuna ,mtu mwenye details zaidi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sulemani Kova Polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam, wameanzisha mchakato wenye lengo la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kuna siku nilikuta Magufuli anaitwa Dr., sikubisha wala sikukubali bali nilishangaa maana 'no data no speaking' lakini nikafuatilia na kugundua jamaa kasota miaka minne pale UDSM na kupata PhD...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NATAMANI SANA SIKUMOJA NIPATE NAFASI YA KUMHOJI HUYU KIKWETI NA SERA ZAKE KWAMBA ILANI YA CHAMA CHAKE AMEITEKELEZA KWA ASILIMIA 90..... SO HII INATUPA PICHA GANI!!!! HAPA TULIPO SASA NA HALI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. You cannot touch all your top teeth with your tongue. 2. All idiot , after reading the first truth, will try it. 3. And discover that the first truth is a lie. 4. You're smiling...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepokea ujumbe huu: Ndugu, Napenda kuwafahamisha vifaa vya "Namuunga Mkono MNYIKA" vipo tayari. Kuna; fulana, stickers(kuweka ktk magari, milango nk),wheel covers, stafu(ila rangi za...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sokwe wajifunza kukwepa mitego Sokwe...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
MGOMBEA URAIS WA CHADEMA AMEANZA KUHAHA NA KUCHANGANYIKIWA BAADA YA ALIEIBIWA MKE KUFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU!!! HABARI KAMILI SOMA HAPA: Home LAKINI CHA KUSHANGAZA HUYU PADRI ANAEUSAKA URAIS WA...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom