Wakubwa
Nimesoma kwenye Gazeti moja liitwalo Malengo Yetu la kanda ya ziwa juu ya makala moja ya uchunguzi inayobanisha chanzo cha mimba za utotoni katika mkoa huo.
Nimeipenda makala ile LAKINI...
Askari wa kikosi cha ffu mkoani iringa .pc mashauri, amejiua kwa kujipiga risasi, akiwa lindoni ofisi ya mkuu wa mkoa.kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
SIKU chache baada ya kutokea matukio mawili ya askari polisi, WP Susana na aliyekuwa mkufunzi wa Chuo cha Polisi Dar es Salaam, Konstebo Noel Jenga (33), kujiua kwa kujipiga risasi, imebainika...
Tanzania`s mining boom: What is behind the scenes?
By Correspondent
9th July 2010
The disproportional little contribution of the mining boom to Tanzania's economic growth...
Nilikuwa naipitia website ya tanapa,
nimekutana na viwango vya gharama za mwaka 2008, mwezi wa juni.
Jamani hii ni aibu, tumeshindwa ku update website kwa kipindi chote hicho.
Tunaomba webmaster...
Join Date Fri Mar 2006
Location Kijijini
Posts 20,003
Thanks : 12,045
Thanked 7,086 Times in 2,102 Posts
Kupitia post zako tumeweza kujifunza mambo mengi sana yanayoendelea chini ya jua umekuwa...
The countdown begins; there are certain newspaper columnist that make you run to newstands during their days of publication to grab their newspaper(s), I mean columns of certain newspapers you...
Habari zenu,
Mimi nina kero yangu ambayo sijui wenzangu munaionaje. Hawa wamarekani sikuhizi wamezidi walianza kwenye malaria, wakaja kwenye hiv and then uzazi wampango(family planning) utasikia...
Wednesday, 07 July 2010 21:07
Gazeti la mwananchi.
Geofrey Nyang'oro
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo , amewaasa viongozi wa kanisa...
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini zimeahidi kukinyima kura Chama cha Mapinduzi (CCM), kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyia mwezi Oktoba mwaka huu kwa lengo la kukishikisha adabu kwa madai kwamba...
Matapeli 400 wa nyumba wabainika
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dodoma; Tarehe: 6th July 2010
JUMLA ya wapangaji 376 wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), wamebainika kupangisha nyumba kwa wasio...
Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu, na serikali ya visiwa hivyo umepiga marufu redio za visiwani kuupiga wimbo huu.
Lakini kwa sababu kudhibiti teknolojia...
Nimehudhuria mikutano/sherehe nyingi sana za watanzania walioko nje ya nchi - UK, Canada, Japan, na US. Mengi sana mazuri hutokea ila pia mabaya huwa hayajifichi (muulize Nyani Ngabu akuambie...
Mussa Juma, Dodoma
Rais Jakaya Kikwete
MRADI wa Utunzwaji wa Kumbukumbu za Usajili wa Hati za Miliki za Kimila kwa mfumo wa kompyuta umemwingiza tena Rais Jakaya Kikwete katika mtego wa...
Mwanaume mmoja ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejifungua mtoto wa kiume kwa operesheni huko Biharamulo.
Maelezo ya awali yanadai kwamba mwanaume huyo ambaye ana mke, alimpachika...
Siku chache tangu treni ya reliya kati kuanza kufanya kazi baada ya kusimama kwa muda wa takribani miezi sita kufuatia kuharibika kwa miundo mbinu ya reli hiyo, kuna habari kuwa treni hiyo katika...
Yani jamani hasira zimenipanda mpaka kwenye koo. kwa nini hakuna customer service inayoeleweka hapa Tanzania?? sio makampuni binafsi sio mashirika binafsi na ya umma kotekote ni balaa.
Mtu...
Mwanamuziki Cheryl Cole alidondoka kwenye photo shoot baada ya kula Holiday Bongo, vipimo vinasema Anofelesi wamefanya kweli!
News today says malaria has hit pop singer Cheryl Cole. The popular...
Serikali ina mpango wa kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi wa sekondari ana laptop na wana mpango wa kujenga barabara ya kwenda juu kwa juu. Cha kushangaza vitu vya msingi kama matanki ya kupigana...
Sabasaba ndio inakwenda kwenda mwishoni. Naamini kwa wale waliobahatika kutembelea mabanda ya maonyesho watakuwa wameona na kujifunza mambo mengi tofauti. Kwa mtazamo wangu, bado tuna safari ndefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.