Nisaidieni kuziuliza mamlaka husika,miaka mingi sasa imeipita na sijawahi kusikia mamlaka husika zikitaja ni kiasi gani cha dawa za kulevya zimekamatwa hadi kufikia hii leo? Wasiwasi wangu ni...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Tanzania, Mbunge ambaye ni mlemavu wa macho, Zuleikha Yunus Haji, amewasilisha taarifa ya ripoti ya kamati. Alikuwa anawasilisha ripoti ya kamati...
Kuna sehemu niliona Topic ya Maisha bora kwa kila Mtanzania nimeitafuta nimeikosa sijui imepotelea wapi. Haya ndo maisha yetu sisi wadanganyika hii ni moja kati ya Zahanati hapa hapa Tanzania...
Kuna taarifa zimevuja hasa baada ya wale vijana wa malawi ambao walioana kuachana kwamba walifadhiliwa na mawakala wa UN kupitia shirika la UNFPA.
Kuna taarifa pia kuwa makakati wa UN ni...
Jamani mie nashangaa, kuna watu akiingia ****** kujisaidia hukaa kuanzia nu saa hadi saa nzima!!
Huwa nashangaa wanafanya nini muda wote huo kama ni haja kubwa ikitoka si basi ikija tena si...
Nina ndugu yangu ambae amefariki, na imekujakugundulika siri zake nyingi alikuwa amezihifazi kwenye Email yake. Hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu namna ya kugundua password kesheria...
Habari ya Jumapili?
Siku moja moja Obuntu hufanya maamuzi ya kutembea kutoka Mabagala Rangi Tatu (anakoishi) hadi Mbagala mission (Saint Anthony) : Kama sehemu ya kunyoosha vioungo na pia...
UK traffic congestion charges spark debate
By Jaston Binala
3rd July 2010
The government has said it does not owe the British Government unpaid traffic congestion charges slapped on...
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM JUMAMOSI JULAI 3, 2010
Askari polisi mmoja ambaye ni Mkufunzi wa Tanzania police Academy, Konstebo Noel Paul Jenga33), amejiua leo kwa...
Ni kwamba wanafunzi hao ambao wamehitimu degree ya sheria na kujiunga na Law skul hawaelewi mambo yanavyoenda kuhusiana na mikopo. Wanadai wanaishi katika mazingira magumu sana yanayowafanya...
1) Slow and steady wins the race
Gasoline mileage drops off in most cars once you're going faster than about 60 mph (see chart at left). For every 5 mph you drive over 60 mph, you're essentially...
Kwa heshima na taadhima, ndugu zanguni wadada na wakaka wa hapa JF nawasalimu. Kwa baadhi ya majuma sikuweza patikana hapa jamvini, kwani nilikuwa eneo ambalo liko nje ya mtandao. Hivyo naomba...
Hili jambo ni zito na si rahisi kama tunavyoaminishwa. Uchakachuaji wa mafuta ni tatizo la muda mrefu bali sasa limeonekana kuwa kubwa kwa sababu magari ya ikulu yamepata matatizo.
Kumbukumbu...
Waziri mkuu wa Iceland, bi Johanna Sigurdardottir
Tuesday, June 29, 2010
Baada ya bunge la Iceland kuipitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, waziri...
Serikali kumwaga pikipiki 400 kwa wajawazito
na Salehe Mohamed, Dodoma
SERIKALI imesema itanunua pikipiki 400 mwaka 2010/2011 kwa ajili ya kubebea wagonjwa ili kutekeleza Mpango wa Afya ya Mama...
Mel Gibson uses racial slur - report
Buzz Up!
Oscar-winning director and actor Mel Gibson, who caused a media storm four years ago over an anti-Semitic...
Baada ya kuwasilisha maombi yao rasi Ewura, mamlaka hiyo nayo imetoa tangazo lifuatalo:
TANGAZO KWA UMMA
WITO WA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU OMBI LA TANESCO LA KUPANDISHA BEI YA HUDUMA YA...
Wahadhiri wa vyou vikuu wametoa taarifa maalumu kwa umma kuhusu madai yao. Angalia hicho kiambatanisho.
Tunawaomba wanafunzi wao wawasaidie kugoma kwa sababu wenyewe hawawezi wanaogopa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.