Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Vuvuzela Radio - The sound of the vuvuzela! Vuvuzela Radio is a station dedicated to playing the sound of the vuvuzela, the famous South African blowing horn the whole world learned to love (or...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna stori naifuatilia kuhusu kasheshe ya maji maeneo ya Kimara - Mbezi, kama mnavyofahamu kwa wale wakazi wa maeneo ya Kimara - Suka - Temboni- mpaka Mbezi tatizo la maji limekuwa kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Opposition offers ‘lesson' on Budget Mr Hamad Rashid Mohammed presents the Opposition's alternative Budget in Parliament in Dodoma. By Tom Mosoba, Dodoma The Opposition in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar City Council: We will run UBT By Dominic Nkolimwa 14th June 2010 Ubungo Bus Terminal After a prolonged battle over the management of the Ubungo Bus Terminal, the Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipanda basi ya Ngorika asubuhi ya saa 12 Kituo cha mabasi ubungo kuelekea Arusha , Lilikuwa ni Ngorika la pili , Kila mtu alitaka kuwahi kupanda gari hilo kwasababu ni kati ya yale yanayowahi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakwera na tabia sugu ya jamaa wanaosha magari pembezoni mwa barabara ya Shekilango Sinza hasa kuanzia eneo la Mori hadi City Food restraurant mbele kidogo kwenye kituo cha mabasi pale kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Usalama usije kamwe kufanya kama hawa wapenzi...unaweza kujikuta ukipoteza kila kitu ikiwemo hutu. Shadow McDonald's sued over nude photos McDonald's has so far refused to comment...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Yaondoa kusudio la kutaka kumshtaki Waziri Ghasia Kaimu Katibu Mkuu wa Tucta, Silvester Rwegasira Katika hatua inayoashiria kusalimu amri, Shirikisho la Vyama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Proud of being Ugandan, I want to be Kenyan too! By Charles Onyango-Obbo THE EAST AFRICAN Posted Monday, June 7 2010 at 00:00 Few things illustrate how Africa has changed over the past 15...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CTI, Felix Mosha. Shirikisho la Viwanda Nchini (CTI), limepongeza bajeti ya serikali hasa kusudio la kushushwa na kufutwa kwa baadhi ya kodi na kueleza kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo (UDP), ametishia ‘kuilipua’ serikali bungeni akiituhumu kwamba, imefikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) utapata nafasi ya kuonyesha uzoefu wa kunusuru makundi yaliyoathirika zaidi na umaskini katika kongamano litakalowashirikisha wajumbe 200 kutoka nchi 42...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete ameitaka jamii kuwathamini na kuwasaidia Wakunga wa jadi kwa kuwa wanatoa mchango mkubwa katika kuwasaidia wanawake wakati wa kujifungua hasa vijijini. Alitoa agizo hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chati ya mapato ya mechi hiyo Shirikisho la Mpira nchini TFF leo limekubali kwamba limekula hasara kutokana na kuandaa mechi ya Brazil na Taifa Stars ambapo kiasi cha shilingi 1.6bn/- tu kati...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa haiba ya uraisi, umakini wa kuongea, kutokumwaga mitabasamu isyokuwa na mpango, kuchagua mahali pa kuweka utani, adabu ya kiti cha uraisi n.k napata faraja sana nikimsikiliza raisi Karume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu.. Mimi nimezaliwa DAR, Sasa katika cheti changu cha kuzaliwa kwenye place of birth pamejazwa:- Dr K.K.Khan Maternity...nawaomba wana Jf wenye kujua hii sehemu iko wapi wanijuze ili...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF, Taarifa nilizozipata muda si mrefu zinasema kwamba mwanamuziki mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi Ally Pugi amefariki dunia usiku wa kuamkia jana (12/6/2010) huko Morogoro alikokuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, kipindi kile watu watu wa deci wamekamatwa, kuna hela kama Billion 11 walikuwa nazo..kiasi ambacho kilikuwa ni kidogo mno kuwalipa watu wote mbegu...kama wangekuwa wanalipa deci walitakiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BAADHI ya wananchi wilayani Korogwe, Tanga, wamelalamika wabunge wao kwa kile walichokielezea kuwa ni kutoshughulikia ipasavyo, matatizo ya mimba kwa wanafunzi wa shule za sekondari za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania inapiga vita UKIMWI Tanzania inategemea sana vijana katika kujenga taifa bora hapo kesho. Tanzania inahitaji sana wajasiriamali na wafanyabiashara tena wazalendo katika kujenga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom