Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"> </td>...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa namna ya kuweka picha ili ionekane nikiandika post kama za wadau wengine ambao picha zao zinaonekana.... mimi ninapicha kwenye profile yangu lakini nikiandika post hainekani...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Je kwa kuwa ni mwaka wa Uchaguzi wakoloni watatulegezea na kuleta mafao zaidi uraiani? Au ndo yaleyale ya kuleta Brazil, ziara zisizo na mantiki, blah blah za kumwaga? Nasikia Mkwere alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mwalimu mzuri sana anafundisha hisabati kwa wale wanaojiandaa na mitihani, his methodologies are the best na ninapendekeza mwenye kijana wake (form I to form IV) aende akamuene huyu mwalimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanini City ya Dar isitumie pesa ya michango ya City kufungua parks!! mji gani wa kisasa hauna parks!! Minister in the Prime Minister’s Office (Environment) Dr Batilda Burian yesterday said...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mineral exports top US$1 billion by: Business Reporter MINES and Mining Development Minister Obert Mpofu says Zimbabwe exported close to US$1 billion worth of minerals in the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni Mstaafu. Nilikuwa nimeishapiga mahesabu ya kuona WC bure kutokana na matangazo ya TBC hadi jamaa walipogeuza kibao ghafla! kwa sasa hivi sina Ubavu wa kununua Decorder zao. Binafsi, sina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba wana JF mnijuze hasa kazi za meya wa jiji hasa la bongo naona kama yupoyupo tu au ni kuongoza vikao vya madiwani vya kugawana posho tu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmh jamani yaani mpaka basi ukisikia net,msaada wa marekani.bajeti msaada wa marekani yaani kila kitu kwa msaada wawatu wa marekani hii kitu inaisha lini mkuu wetu ??tumechoka na hao wamarekani ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa walioona taarifa ya habari ya juzi mtasikitika kuona serikali yetu ilivyo na hela inavyoweza kuleta wabrazil kwa billion tatu huku watoto wa shule ya muheza huko tanga wakiwa na huzuni kubwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaani serikari inatumia pesa nyingi hivi kuchimba visima vya maji wakati tumezungukwa na maziwa makubwa matatu.Kwa nini serikari isitumie hizi hela kusambabza maji ya bomba? Au ndio opportunity...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Serikali yatelekeza mgodi wa Kiwira Katika taarifa ya habari ya Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC) ya jana usiku imeonesha kwamba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.ExternalClass .ecxhmmessage P{padding:0px;}.ExternalClass body.ecxhmmessage{font-size:10pt;font-family:Verdana;} Alikuwepo kuhudhuria sherehe za Passover Jerusalem Myahudi mmoja tajiri kutoka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wala si siri hapa hivyo hamna sababu ya kuficha kitu. Watu wanahamasika kuangalia vitu ambavyo hawakupanga ila wanafanya hivyo na hatimaye kuingia vishawishini kutokana na huu utaratibu wa kila...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
UDA kutumia Sh 24 bilioni kuagiza mabasi ya abiria Elizabeth Ernest KAMPUNI ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), imesema itatumia Sh 24 bilioni kununua mabasi 150 ya abiria yatakayotumia gesi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau, It is almost one year since Kilimo Kwanza Programme came into life. I am in knowledge search of any documents/website links/reports that have tapped into this important campaign...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wajameni ni jambo la kushangaza na kwa upande mwingine kusikitisha. Nashindwa kuelewa kama CRDB wamechoka wateja au wametosheka na kipato hivyo kutokujali tena wateja wao. Amini usiamini mpaka...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna kipindi cha hivi karibuni niliwahi kusoma habari za magazetini , TZ wanajiandaa kuotesha mazao ya GM sasa kuna maswali tujiulize inakuwaje hawa walio endelea wanakwepa kuoteshwa nchini mwao ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania attractions need intensive marketing - US tour operators By Beatrice Philemon 9th June 2010 Tourists at Selous Game Reserve.(file photo) Despite Tanzania's efforts to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom