Nimepata habari ambazo zinatakiwa zithibitishwe kuwa AICC--Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Arusha--kilishtakiwa na aliekuwa mwajiriwa wake aitwae Dr Makando na Makando ameshinda kesi
ambapo...
KATIKA hali ya majibizano kati ya ndugu wa mume na mke ni hospitali gani apelekwe mwanamke aliyekuwa mjamzito na jibu kutopatikana mapema ilifanya mwanamke huyo aanze hatua za awali za...
Habari wana ndugu wote,
Nimeingia Dodoma kwa mara ya kwanza jana jioni, nipo town najaribu kutafuta sehemu ya masaji (Massage Parlour) but sijafanikiwa kabisa.
Tafadhali kama kuna mtu anaweza...
Mwanzo
1. Hapo mwanzo,katika hii sehemu tunayoishi,kulikuwa hakuna kitu.Halafu hii sehemu ikaanza kufukuta,kwa sababu ya nguvu iliyokuwa inaelekezwa hapa kutoka Paradise[Mbinguni],anakoishi...
naamini kutokana na ushindani uliopo wa mitandao ya cm ipo cku mtandao mmoja utaamua kutumia kiwango kmoja kwa mitandao yote yani kama ni thumuni basi mitandao yote na ililikitimia watanzania...
Catholic church child sex scandal hits Brazil as priest, 83, is arrested over alter boy abuse allegations
Last updated at 4:28 PM on 20th April 2010
Pope Benedict leads the funeral...
MMOMONYOKO wa maadili unaelekea kuiathiri jamii ambapo sasa baadhi ya viongozi wa dini wanazidi kuingia matatani kutokana na kushiriki katika vitendo vya ngono.
Mchungaji wa kanisa la African...
Far more people in India have access to a mobile phone than to a toilet, according to a UN study on sanitation.
India's mobile subscribers totalled 563.73 million at the last count, enough to...
Kwa mujibu wa BBC nchi ya misri imedai kutumia maji ya mto nile ni haki yake na haiwezi kuruhusu haki hiyo ipokonywe na nchi kama Kenya, Tanzania na Ethiopia ambapo mto huo una vyanzo vyake...
WABUNGE wametaka raia wa Kenya na Uganda walioajiriwa katika sekta mbalimbali nchini, kabla ya kuanza kwa Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki, warudishwe makwao.
Pia...
Hili zoezi la kuichangia CCM bado halijaniingia akilini vizuri.
Hawa jamaa ndo wamekuwepo madarakani tangia tunapata uhuru. Wametuibia kwa dizaini zote yaani hata makovu ya Richmond, mikataaba...
Wadau, hivyi yule jamaa aliyeenda India kufanyiwa upasuaji baada ya kutumia madawa ya kichina na kusababisha uume wake kuwa mkubwa na hata kukimbiwa na mke wake amesharudi?
Jeh! mtalimbo...
Wadau, nilikuwa nasikiliza BBC Swahili leo asubuhi na ndipo ilipokuja habari kuhusu adhabu ya kifo kwa upande wa nchi yetu. Takwimu zinaonesha kuwa kipindi cha awamu ya kwanza na ya pili...
Wadau, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu.
Nachukuwa nafasi hii kueleza kile kinachonishangaza. Hivyi karibuni kiwanda cha Coka kupitia vinywaji vyake walitangaza zawadi mbalimbali...
420, 4:20 or 4/20 (pronounced four-twenty) refers to consumption of cannabis and, by extension, a way to identify oneself with cannabis drug subculture.[1][2]
The term originated from a group...
TATIZO la ajira nchini limeendelea kuongezeka na kusababisha maelfu ya Watanzania kugombea nafasi za kazi chache zinazotangazwa sasa hivi kwenye mashirika mbalimbali.
Miongoni mwa eneo ambalo...
Wadau, kutokana na kushamiri kwa makanisa mengi hapa nchini na hata mengine kuongozwa na wachungaji (wanavyojipachika vyeo) ambao hawajaoa ili hali wao ndiyo wakubwa wa makanisa hayo.
Jeh! Ni...
Hawa Learned Proffession:
nakwazika sana mnapotumia kiingereza mahakamani na upande mwingine masikini ya Mungu mtanzania mwenzio hata hajui unaongelea nini!!! (na anajiwakilisha mwenyewe)
sijui...
Should African religions be preserved?
Traditional African religions are still alive and well in Africa, says a survey done by the American research organisation, Pew Research...
Tunayakosa maoni yenu na mawazo yenu; nikiangalia maoni yanayotolewa mara kwa mara na wale ambao tumo humu siku nyingi ni wazi kuwa sehemu kubwa ya watumiaji hawajajiunga na ni watazamaji tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.