Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
nadhani hili ua linaitwa pelagonia. sina uhakika kama linakua Dar e salaam,naomba kama kuna yeyote ambaye ameona linauzwa mahali Dar es salaam anielekeze. vile vile naomba nijulishwe maua(sio...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Belgian Catholic bishop admits molesting boys Roger Vanheluwe, the bishop of Bruges, says he begged for victim's forgiveness as Vatican confirms his resignation...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jana rafiki yangu alikamatwa na tgo kwa kosa la kutanua uku na uku tgo wakataka 200000 yani kila mmoja laki jamaa akaona nyingi bembeleza wakakataa wakampeleka kituoni akuna dhamana mpaka j3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
22 April 2010 Dar Es Salaam — MIC Tanzania, a mobile phone operator trading as Tigo, has 'silently' hiked its airtime tariffs, a move that industry watchers describe as stealing from the...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Najua watakaokasirika kwa hili najua wameshazoea kwenye semina za Perdiem lakini kwa hali ilivyo yawezekana inaitajika kuwepo na semina kubwa kuelekeza jinsi gani ya kujilinda na madhara ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A female teacher at a private boys' school has been charged with sexual activity involving a sixth-form pupil. Classics mistress Hannah McIntyre, 24, is accused of abusing a position of trust and...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Ukija nchi zingine watumiaji wa mitandao ya simu za mkononi na hata landline, kodi unayolipa inakatwa pale pale unapoongeza salio. Ni kwa nini TCRA mmekaa kimya wakakti wananchi wa Tanzania wanao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikia jana kuwa Mwenyekiti wa mtaa wetu amepita na kutoa taarifa kwa kila nyumba kwa ajili ya kufika ofisi ya mtaa ili kuchukua vyandarua vinne kwa kila kaya. Haya ndio mambo ya uchaguzi au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Salamu. Najaribu kutaka kujua ajira za TRA zinapatikana je hasa kwa maeneo ya Longroom. Je nahitaji kuwa na Elimu ya aina gani kuweza kupata ajira maeneo kama yale ? Na je Kuna kufahamiana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeletewa ujumbe ufuatao kwenye e mail yangu, wana jf mna maoni gani? '' be careful from the 20th to 28 of this month,there is possibility of an acid rain.the dark circle appeared around the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa kweli kwa hizi kashifa zinazoendelea kwa mapadri ingekuwa ni amri yangu wote ambao wanataka upadri waasiwe na ihakikiwe mitarimbo imelala doro ndo asimikwe upadri mana hii ni aibu sana na hii...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Leo katika kipindi cha tuongee siasa na uchumi cha star TV, mchangia hoja mmoja alisema kuwa jiji la Dar es salaam, Tanzania ni la nane kwa uchafu duniani. Je, wadau hii ni kweli? Na kama ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana nilishtuka kidogo kusikia Raisi wangu jk akiwa na watanzania walioko marekani ati amejitahidi asilimia 96 kupeleka watoto kwenda shule hata wale waliokuwa awana uwezo wa kwenda shule ...huu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
President Jakaya Kikwete has said that the challenges facing most developing countries in the health sector are numerous diseases and the frequency with which their people fall sick. Kikwete made...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Everyone in our beautiful TZ, Hey, it's me....alifazza - ze blakk wadada!! I am a music artist who's on a tight Africewide music competion on www.starafrica.com I play a variety of music but...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana ndugu Jana nimesoma walimu wamepigwa miaka 14 jela, Viboko na kazi ngumu kwa ajili ya wizi wa pesa za shule ya msingi shilling za Kitanzania 800,000. Waliotiwa hatiani ni walimu 3 yule wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi umkute mmeo/mkeo anaigiza kwa jinsi hii, utachukua hatua gani?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kuna Mbunge ameliona hili juu ya utaratibu wa sasa wa Tanesco la wateja kugharimia vifaa vy a nguzo na nyaya pale mteja anapotaka kuanganishiwa huduma ya umeme. Hatukatai kwamba ni utaratibu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom