Wakuu
Thanks God is Friday - I got my salary today.
i) kwa hiyo nina uhakika wa kulipa madeni ya mwezi huu kwa mangi ili nianze kukopa tena ya mwezi ujao
ii) Naweza kutoka kula kitimoto na...
Thursday, March 25, 2010 10:52 AM
IMEDAIWA kuwa zaidi ya wanafunzi 300 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), leo wamepanga kuandamana kutoka chuoni hapo hadi Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu...
Moses Wilson, the Unaa president and his family. Happy parents will have happy children who will turn out to be jolly spouses. Children learn to love from their families, from what they see, and...
World's cleverest man turns down $1million prize after solving one of mathematics' greatest puzzles
Last updated at 11:02 PM on 22nd March 2010
No need for greed: A rare photo of...
Mama mangunga mpaka leo wahusika wako mtaani wanakula kuku
hii aibu mpaka doha mama mbona tunatiwa aibu...na mhusika
mkuu mnamjua mnakaa kimya!!!!
Nakupenda tanzania
serikali ya tanzania...
Ukiwa ghetto umelala na masela usiku unashtushwa na ubaridi pamoja na unyevunyevu kwene TIGO,unaamka lkn ulipoangaza unakuta kila mtu yuko bize na usingizi tena wanakoroma kwa saaana tuu..unaamua...
Ndugu zangu kuna hii promosheni ya habari ndio hio ya kuongea tsh1 kwa sekende wao (voda) wanasema tutatumia Tsh1 kwa Sekunde kwa siku nzima. jana nikaweka line yangu ya voda na kuweka vocher ya...
Call 18003733411 from your US Landline/Mobile. The operator will greet you with a welcome message and ask you to select one of the FREE411 service. The Last option is Free Call. You dont have...
WASHITAKIWA watatu jana walifanya kituko mahakamani kwa kuvua nguo na kubaki uchi huku wakiwa wamejipaka kinyesi kibichi cha binadamu na kisha kutoroka kabla ya kukamatwa tena baadaye.
Tukio...
Ukiwa ghetto umelala na masela usiku unashtushwa na ubaridi pamoja na unyevunyevu kwene TIGO,unaamka lkn ulipoangaza unakuta kila mtu yuko bize na usingizi tena wanakoroma kwa saaana tuu..unaamua...
Hili suala limekuwa kama jadi ya Watanzania wengi sana hasa mijini na majiji kwa watu kutumia nyembe kwa matumizi yao binafsi na kuzitupa hovyo barabarani na wanaoathirika ni watoto wadogo ambao...
Daniel Mjema, Moshi
Gazeti la Mwananchi
MWANAMKE ambaye ni mke wa mtu mwenye watoto watatu, amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na...
Namna ambavyo sheikh anavyotumia vyombo mbalimbali vya habari na mawasiliano kunadi unajimu wake, ni kama yuko kwenye promosheni ya biashara yake.
Kweli wasikilizaji wa unajimu wake wameongezeka...
Shalom!
Unaendeleaje?, asubuhi ya leo nilikuwa natafakari, Yoh15; Yesu anasema mimi ni mzabibu,
Yeye ni Mzabibu na sisi ni matawi, tawi linalozaa hulikatia vizuri, na lile lisilo zaa hulikata na...
Serikali katika sera yake ya elimu ilishatamka kuwa lugha rasmi ya kufundisha shule za msingi ni kiswahili na kiingereza kitafundishwa kama somo. Lakini cha ajabu serikali hiyi hiyo inaendesha...
MWANAMKE Sophia Philemon [44] ambaye ni mama wa watoto watatu, amehukumiwa kwenda kutumikia kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na mwanafunzi chini ya miaka...
Kuna daladala imegongwa na Lory la mafuta muda si mrefu eneo la Kibamba - Morogoro Rd, Dar es Salaam.
Zimamoto wameelekea eneo la tukio kuzima moto. Taarifa zaidi naamini zitafuata
Kutoka Global...
Haya..source
A HEATHROW security man was quizzed by police after ogling a girl colleague "naked" in a new anti-terror body scanner.
Jo Margetson, 29, reported John Laker, 25, after he took...
Katika jamii yetu ya Kiafrika imezoeleka kwamba Mwafrika akizaa na Mzungu/Mwarabu na mtoto akawa nywele na rangi vyenye mwonekano wa Kizungu/Kiarabu basi huyo huitwa Chotara.
Swali langu ni...
MFANYAKAZI wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN) Muhidin Issa Michuzi ameondoka jana kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria kongamano la pili la Watanzania wanaoishi nchi za nje (Diaspora 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.