Serikali ya Sri Lanka imempiga marufuku mwanamuziki wa kimataifa kutoka Marekani, Akon, kuingia nchini humo kufuatia maandamano yanayopinga kanda yake ya video inayoonekana kukejeli dini ya Budha...
Katika mojawapo ya sijui niite utafiti au utabiri, mwanasayansi huyo wa Ki-Irish, Dk. Dionysius Lardner aliyeishi kati ta Mwaka (1793-1859) aliwahi kusema kwamba, Garimoshi halitaweza kwenda kasi...
Waandishi wa habari wa itv wamenusurika kifo baada ya gari lao kuangukiwa na wire wa umeme ktika barabara ya oceanroad.wakiongea kwa uwoga mwandishi mmoja aitwaye rehema anasema alikuwa katika...
Skendo limeikumba kitengo cha kurekebisha tabia cha Afrika Kusini ambapo mwanamke aliyakamatwa kwa makosa ya ujambazi anadaiwa kufungwa kwenye jela ya wanaume kwa kipindi cha miezi sita na...
Habari nilizozipata muda huu kutoka kwa abiria aliyemo katika basi la Superfeo ni kwamba basi la kampuni ya Hekima limeanguka katika kitongoji cha Tanangozi Iringa na kuua abiria wengi idadi...
Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi (Cotwu) kimeikaba koo Serikali na kudai kuwa hakitaitikia ombi la kuwataka wafanyakazi kusitisha mgomo wa nchi nzima.
Kauli hiyo...
NYERERE'S SOCIAL AND POLITICAL THOUGHT.(Critical Essay)
ABSTRACT
The debate over the indigenous versus the European roots of `African democracy' has regained importance recently. Using...
Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu...
Tafiti nyingi zilizofanywa kuhusiana na upotezaji muda unafanywa na waajiriwa ni kwamba, wafanyakazi maofisini huwa wanapoteza saa tatu kila siku katika kufanya mambo ambayo hayana maana kwa...
She is disgusting evil!
Nursery Manager 'Made Babies Eat Own Vomit'
12:07pm UK, Tuesday March 23, 2010
Jo Couzens, Sky News Online
A nursery manager force fed babies in her care until...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) will pick its presidential candidate between July 16 and 17, this year. The partys Vice-Chairman (Mainland), Mr Pius Msekwa, told journalists shortly after the Party...
MHASIBU mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Ben Mpete amekuwa mwanachama wa CCM wa saba kutangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo la Iringa Mjini ambalo kwa sasa linashikiliwa na Mkuu wa Mkoa wa...
TANGU LINI UELEWANO UKAPIGIWA KURA YA MAONI?
Wengi wakikataa, ina maana uhasama uanze upya?
Wenye uchu wa madaraka wamejaa Zanzibar na dunia nzima
Na Walusanga Ndaki
JE -- kwa...
Jamaa mmoja kutoka songea aitwaye kanuhumba
amemwagiwa tindikali na mmoja wa watu wanaemuhisi
anatembea na mke wake...akionyeshwa kwenye taarifa ya habari tbc jamaa huyo ambae alikuwa...
"""KAULI MBIU YA WIKI YA MAADHIMISHO YA TB DUNIAN""
Hata kama ni ngumu kuisha basi tupunguze jamani hii kitu chabo
unakuta mtu anakaa gorofani yuko karibu na choo cha mwenzake
anaamua kabisa...
Watanzania wamekuwas na hamu sana na shauku kubwa kujua jinzi gani kumbe wakati wachezaji wakiumia uwanjani kutafuta point tatu huku kuna baadhi ya wafanyakazi wa timu wakishirikiana na viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.