JANA ilikuwa ni Siku ya Wanawake Duniani. Viongozi wakuu wa nchi, wanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia na wanawake walio mfano kwa wengine walikusanyika kutafakari hali ya kundi hilo...
AP This Friday, March 5, 2010, photo shows a copy of 'Letters to Jackie: Condolences From A Grieving Nation,'
By HOLLY RAMER, Associated Press Writer Holly Ramer, Associated Press Writer ...
Utaamini wanachokiandiak Nipashe? Story yao ya Kagame kuishutumu Tanzania wali-monitor BBC. Waliosikiliza BBC siku hiyo watasema kuwa jamaa hakuitaja Tanzania haa mara moja. It is common sense...
Na Ezekiel Kamwaga
UTAWALA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), chini ya Dk. Daudi Balali ulikuwa na utaratibu wa kulipa mawakili wa kukodi wa makampuni tofauti lakini kwa kazi ileile, imegundulika...
This is the lowest piece of skill i ever seen
Swali langu ni kuwa
Je wakishamaliza utakuwa ni paved au un paved
Vile vile n hatari kwa ndege zisizokuwa na gravel kit ku cope,
Yaani ni pease ya...
SIKU chache baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), kutangaza mgomo wa wafanyakazi nchi nzima, Rais Jakaya Kikwete amesema anaamini shirikisho hilo litatumia busara na si...
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama...
Nimejaribu kutafakari juu ya hii title ya heshima tunayotumia kwa viongozi wetu kwa kuwaita 'waheshimiwa'. Kwa kweli nilichogundua ni kwamba kuna wanaostahili uheshimiwa, na baadhi hawakustahili...
Wakuu leo imetokea tu nikawa najiuliza hovi Rais wa Zanzibar huwa anashiriki katika shuguli za kimaendeleo ktk Tanganyika? Yaani kama kuzindua miradi, kulutana na wananchi na kutembelea wahanga wa...
Jina langu ni Kichuguu mwana wa Porini, huwa natambuliwa rasmi kama Kichuguu Cha-Porini. Rafiki zangu wananiita majina tofauti, wale niliokuwa nao shule ya msingi sekondari na JKT huniiita...
DHANA YA UKOMBOZI WA MWANAMKE BADO NI TATA.
- ASASI NYINGI ZIMEANZISHWA KUWEKA MIKAKATI YA KUMKOMBOA
MWANAMKE.
- WANAWAKE WENGI WAMEINGIA MADARAKANI KWA KUWAAHIDI UKOMBOZI...
UMEME UMERUDISHWA, REPEAT UMEME UMERUDISHWA BAADA YA MATTENGENEZO MAKUBWA.
HIVI SASA UMEFIKIA HAPO MTONI CONTROL NA ENERGIZING YA T1 NA T2 AT 132KV PRIMARY 33KV SECONDARY
TAYARI...
Kuna tetesi kwamba Seif Maalim - CUF kaanguka jana Dar airport na sasa watu hapa kisiwani Zanzibar wamekuwa wakipashana habari kwa simu kwamba hali yake ni mbaya sana.
Tunaomba mweye taarifa...
Mwanamieleka wa Sumo wa nchini Urusi ametiwa mbaroni baada ya kuinyofoa mashine ya kutolea fedha toka kwenye ukuta wa duka moja nchini humo na kisha kuibeba mabegani na kukimbia nayo...
Kwa mujibu wagazeti la Mwananchi la leo tar 08/03/10...
Mbunge wa viti maalumu CUF Mh Nuru Awadh wa wilaya ya Tanga mjini aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumkashifu raisi Kikwete kuwa...
Nakumbuka nilipokuwa mdogo mama yangu alikuwa ameweka miiko wakati wa kula chakula,na alikuwa mkali kwelikweli pale inapokuwa tunakiuka hiyo miiko,lazima utafinywa kwenye mashavu.
Moja ya miiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.