Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu. I have a certain issue of which i want to report to crime stoppers in Kigoma for followup before it is too late. anybody mwenye reliable contact person in Kigoma anomba aniPM? Nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi yazuia mtoto kuoa mwanamke JESHI la Polisi nchini, limezuia kufungwa ndoa ya mwanafunzi wa kidato cha tatu Hasira Seif (17) wa Shule ya Sekondari Uhuru Mchanganyiko jijini Dar es...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
By Pius Muteekani Katunzi It is not fair that renegade General Kayumba Nyamwasa runs away from the monster he helped create. He should have the taste of his own medicine! Nyamwasa is not...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkutano ulioshirikisha waziri ngeeleja na askofu kakobe umeshindwa kumalzika bila muafaka huku waziri akihamaki na kukiiri kazi iliopo mbele ni nzito...ngeleja na wenzake wameshindwa kwa mara...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hatimaye waziri Ngereja amefafanua kuwa kitu kilichowazuia kupitisha umeme chini ya ardhi ni kwa sababu fedha wanazotumia ni za ufadhiri kutoka Shirika la maendeleo la Japani (JICA). Kwa kauli hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania News World News Business & Finance Sports Interviews Education Technology Health Life Style Entertainments Photo Gallery Member's LoginUsernamePasswordNot a member? Sign Up...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mama Salma Kikwete, akiwapungia mkono wanawake waliohudhuria sherehe za Uzinduzi wa Umoja wa Wanawake kutoka vyama vya siasa vyenye wabunge ujulikanao kama Ulingo jijini Dar es Salaam jana. Kulia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MWANA UMLEAVYO...Mtoto mdogo anayeelelewa katika makazi ya Kulea Watoto Yatima na wasio na Makazi Maalum wa CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam akiwa amemuwekea sanamu ya bastola mwenzake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu nilipopata taarifa za mauaji ya watu 17 wa Ukoo mmoja yaliyotokea huko Musoma, nimekuwa nikiangalia hatari iliyopo mbele ya watanzania. Nasema hatari kwa sababu kitendo hicho licha ya kuwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msako unaoendelea mchini malawi wamekamata washomalia wengi na kutaka kuwarudisha tanzania walipofika boda, tanzania imesema haiwatambui watu hao, baada ya tanzania kuwakataa malawi wamewachukua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
"Although Professor Hoseah Kayumbo’s primary task is to teach Biology and related subjects at the University of Dar es Salaam, he and his colleagues have taken the added task of improving the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lile sakata la kupitisha umeme mbele ya kanisa la Mch. Kakobe hatimaye linaonekana limefikia tamati baada ya waumini waliokuwa wanalinda kanisa hilo usiku na mchana kwa siku zote toka sakata hili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
DID YOU KNOW THESE FACTS? I SURE DIDNT TILL NOW Death is certain but the Bible speaks about untimely death! Make a personal reflection about...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Activists ask court to ban polygamy By Lominda Afedraru, Citizen Correspondent, Kampala If man and woman are equal, why...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemshutumu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuwa amekuwa akifanya ziara za kiserikali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Babu aliyepigika na umaskini maisha yake yote ameuaga umaskini akiwa na umri wa miaka 97 baada ya kushinda bahati nasibu ya mamilioni ya pesa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Phoonk 2 Watengeneza filamu wa India wanawapima watu imani kwa kuahidi kutoa zawadi ya dola 10,000 kwa mtu yoyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ametupwa jela miezi 30 na kufanyishwa kazi ngumu baada ya kukiri kubadilishana watoto wawili kwa ndege aina ya Kasuku Kishungi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
BAADA ya siku chache toka sakata la kuchomwa sindano kwa mtoto na kusababisha mkono huo kuoza na kukatwa wananchi wafika katika hospitali hizo kuonana na uongozi wa hospitali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dr.Slaa na Shelukindo walikuwa ufufuo na uzima kujionea misukule kwa macho yao leo pia Shelukindo amesema ametumwa na rais aseme kuwa nae JK atakuja mwenyewe kujionea
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom