Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiwaza sana ni kwa jinsi gani tunaweza kuliunganisha bara letu la Afrika kwa gharama nafuu kabisa na kuweza kuwa na fursa ya kuweza kuona na kujua kila siku nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATU 24 wamekufa papo hapo na wengine 56 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la AM iliyotokea jana jioni eneo la mpaka kati ya Nzega na Igunga mkoani Tabora. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 10...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja na makosa yanayotokea serikalini kwakuangalia usemi wa hawa wenzetu wapinzani leo hii mrema akiongea kama msemaji wa CCM,sharrif ahmad akilazimisha karume kupewa miaka 2 siku za mwisho...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa wabunge na madiwani. Nini iwe strategy ya vyama vya upinzani ile viweze kutoa changamoto kwa CCM. Mimi nadhani , kwanza vyama hivi vingekubaliana kusimamisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa JF, Napenda kuwaletea tahadhari hii,juzi rafiki yangu alikuwa anatoka mjini saa tatu usiku, akirudi nyumbani kwake Sinza akipitia Bagamoyo Road. alipokuwa anapita daraja la...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani kuna mtu amenigusa kidogo kwa kunihakikishia hawa mabwana apamoja na fighting yao ccm awakuwahi kurudisha kadi za CCM walipoamua kukiama hawa si wahaini wa kisiasa kweli???
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kweli nyani haoni kundule lake, hawa jamaa WAJUAJI wa clouds tena kupitia kipindi chao cha Power Breakfast show huwa wako mstari wa mbele kukosoa mambo mengi sana lakini leo nimewabamba. Website...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wadau, Heshima mbele! Naomba kujuzwa, Utaratibu wa kumpata CEO wa shirika la umma/taasisi ya serikali/govt agency ukoje haswa hapa Tanganyika? Tumekuwa tukiona mara post inatangazwa, then...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani hawa watu sijui niwaweke kundi gani nilipita pale manzese nikasema nimsalimie best yangu mmoja anauza yale mambo ya coffin baada ya muda ikaja benzi wanaitaji jeneza...wakaednda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wasemekeanao majambazi wamevamia harusi moja kwa kuingia na kuwaua watu watano na kuendelea kuwasha moto kwa wengine waliokuwa wakitafutwa,..habari zaiidi zinasema walipoingia walikuwa kama...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Salama sana; Wadau naombeni kuuliza website ya TBC ni ipi au nawao bado wanajiendesha kienyeji, hawana website?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kati ya vitu ambavyo sivipendi kabisa ktk jiji la Dsm ni 1] Foleni zisizo na sababu 2] Hakuna maji na umeme wa uhakika 3] .....
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Na Saed Kubenea BUNGE la Jamhuri limetishwa. Spika Samwel Sitta “ameng’olewa meno” na kurejeshwa katika “dini” yake ya asili. Viwango na kasi – Standard and Speed – alivyosema ni mwongozo katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu mwema habari ya saizi,natumaini umelala hivi sasa kama utaabahatika kuamka asbh naomba uamke kuminambili uonepolisi wako walivyomfanya dereva tax pale kasulu ,...walienda wakamdai ameiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani jana nilikuwa naangalia tbc kulikuwa na mada nzuri sana walikuwepi mama abdallah,,mama nkya wa tamwa na mbunge mmoja sikumbuki jina...ahpo ndipo niliamini yule mama nkya ni kichwa cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana-great thinkers, ni muda sasa hakuna lolote linaendelea kuhusu Jerry Muro. Kumetokea nini? Mwenye nyepesi nyepesi naomba anijuze!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
naona watanzania tunazidi kumaliziwa nyetu mara madini au rasilimali zote ziishe nimepata nyeti kuwa hao wote wana mijihela kibao nje Conquest
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kweli mjini shule jamani wakati taarifa ya kutaka kujitoa kwenye soko la maafuta tanzania wengine tumeisikia leo hii Meli kubwa iitwayo MT PLADDER ikiwa na mafuta shede ya ndege imerudishwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwa ni ndani ya wiki moja Mkoa wa Tabora kukumbwa na ajali mbaya za vyombo vya usafiri( Bus) Basi lililoua watu zaidi ya 24 mwanzoni mwa wiki hii wilayani Nzega A.M coach dakika chache...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hii imekuwa ni mizaa ya tcaa kila siku ajali zinatokea akuna kinachoendelea watu wakifa ndio wanakumbuka kuwawajibisha watu...... Bado tunaendelea kufwatilia chanzo cha ajali halisi ila bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom