Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Duniani kumekuwepo na majanga ya aina mbalimbali kila mwaka. Tumesikia matukio ya tsunami, matetemeko ya ardhi huko Hait na Chile hivi karibuni, maporomoko ya Same na Uganda na mafuriko huko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja wa nchini China ambaye alikuwa akisumbuliwa na madeni mengi sana yaliyotokana na tabia yake ya kupenda kucheza kamari amejiua mwenyewe kwa kujilipua kwa bomu ndani ya basi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni siku ya Ijumaa niko ofisini kwangu nimekaa nikiendelea na kazi zangu kama kawaida mara napata mgeni. Mgeni huyu ni rafiki yangu Farida mwenyeji wa kule Arusha niliyesoma nae kidato cha tano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanafunzi Wasagana Mabwenini, Shule Yafungwa Monday, March 01, 2010 3:08 AM Shule moja ya wasichana nchini Afrika Kusini imeyafunga mabweni yake na kuwalazimisha wanafunzi wote waondoke...
0 Reactions
29 Replies
22K Views
serikali imeombwa kuwapa tuzo maalum Marubani waliokuwa wakirusha ndege ya ATCL iliopata matatizo huko mwanza ambapo walifanikiwa kunusuru uhai wa watu zaidi ya 49 akiongea kwa masikitiko mh...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Abiria 205 wa ndege ya Air Canada waliokuwa wasafiri kutoka Kanada kuelekea Uingereza walilazimika kulala hotelini baada ya safari yao ya ndege ilipoahirishwa baada ya panya kugundulika kwenye...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
JESHI la Polisi mkoani Mara limewafikisha mahakamani watu tisa kwa madai ya kuhusika na mauaji ya watu 17 wa ukoo mmoja yaliyotokea mkoani humo mwezi uliopita. Kamanda wa Polisi wa Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matiti ya bandia kama haya ya silikoni yaliokoa maisha ya Coranza Monday, March 01, 2010 3:37 AM Mwanamke wa nchini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KAMATI ya Bunge ya Mashirika ya Umma,imeshtushwa na matumizi makubwa yanayofanywa na Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji(EWURA) kwa wafanyakazi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwanza naomba samahani kwa hawa jamaa wenye mtandao ambao wameweka huduma ya cheka maana baada ya faraja inakuwa kero na karaha,mimi ni mtu wa safari safari za mikoani sana sasa nikiwa huku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna kila dalili kuwa wale Waumini wa FULL GOSPEL-MWENGE (KWA KAKOBE) Wanaolinda usiku na mchana kutimuliwa alfajiri ya leo,ili kupisha mradi mkubwa wa umeme,tetesi hizi zilianza jana jioni tar...
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Juzi katika pekua pekua yangu katika maktaba yetui, nikakutana na Gazeti moja la Zamaani sana, ukilinganisha na umri wangu, linaitwa Mzalendo. Ni gazeti la mwaka 1979. Kweli baba yangu alikuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ningekuwa nimelisema hili humu katika kibaraza hiki, naamini wengi mungeniita mtabiri, lakini bahati mbaya nilikuwa bado sijajiunga na jamii forum. Nakumbuka wakati fulani niliwahi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Ugabda kimesema watu zaidi ya mia tatu wanahofiwa kufariki dunia kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea ... mashariki mwa nchi hiyo. Maporomoka hayo...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Waziri wa zamani wa Uingereza wa ushirikiano wa kimaendeleo, Clare Short, aliyekuwa mstari wa mbele kupinga ununuzi wa rada ya Tanzania kiasi cha kutofautiana na Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sasa hivi wametangaza radio one kuwa soko la ferry linateketea kwa moto. na vikosi vya uzimaji viko njiani kuelekea kwenye tukio, wenye habari zaidi watujuze
0 Reactions
4 Replies
2K Views
EAC govts challenged on sanitation issues By Lusekelo Philemon 3rd March 2010 EAC East African governments have been asked to allocate more financial resources to sanitation issues...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Chinese fans ask, will Yao Ming's baby be U.S. citizen? Last Updated: Wednesday, March 3, 2010 | 5:38 PM ET The Associated Press Chinese basketball fans want to know — will Yao Ming's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NI siku nyingine tena mpenzi msomaji nakukaribisha katika makala hii inayokujia kila Aalhamisi, lengo likiwa ni kujifunza mambo mbalimbali katika maisha tunayoyapitia. Mara kwa mara waweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuwashukuruni sn JF the home great thinker, my Husband,Sketchers company,my beloved family in Tz,all friends from facebook and all my friends wherever you are in and outside the country...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom