Habari ya kusikitisha toka Uganda inasema kuwa daktari mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu aaliyefariki dunia kwa UKIMWI aliacha orodha ya majina ya watu wapatao 782 ambao aliwaambukiza Virusi Vya...
waliotambuliwa hadi jana ni Faustine Simon wa Katesh, Manyara; Pastory Kaiza; Epelanya Mleke; Gerald Nyitwe ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kikosi cha 39 Arusha...
Watanzania milioni 8 washinda njaa kila siku(very sad)
Ni idadi inayokaribia waliopiga kura mwaka 2005
WATANZANIA wapatao milioni 8.4 wanashinda na njaa au kulala njaa ili kukabiliana na ukali...
Kama mnaweza ni vyema mkajiunga na mashirika mengine
hili ppf kwa kweli limeanza kuchoka watu wameanza kudai pesa
yao kama walikuwa awatoi.....pesa zinakuja daiwa baada ya mwaka
je hapo kuna...
Juzi nilikuwa kijiji kimoja huko Rombo.
Bahati nzuri au mbaya nilikutana na balozi wa mtaa akiwa na kadi nyingi za watu mbalimbali wa mtaani kwake,ikabidi ni muulize kulikoni? Balozi wa watu...
Chile quake may have shortened day
Last Updated: Tuesday, March 2, 2010 | 11:02 AM ET
NASA recently released this composite image of the Earth based on data from the MODIS instrument on the...
Wafanyakazi walioachishwa atcl kwa manufaa ya umma wamevamia ofisi za waziri mkuu leo hii kudai mafao yao baada ya kuachishwa,..hali hii imetokea leo pale ofisi za magogoni karibu na ikulu nikiwa...
From: Sandhu-AFRICANHORIZONS
Sent: Tuesday, March 02, 2010 12:16 PM
To: A & A Computers - Marketing
Subject: FW: FAYE CRAN< BEATEN AND ROBBED, but ok
Pls help us to spread the word. Its not...
Dar airport to handle over 30 planes an hour
By WILFRED EDWIN Cancel
Posted Monday, March 1 2010 at 00:00
THE EAST AFRICAN
The modernisation of JK Nyerere International Airport, to be...
Wandugu hii habari imo ndani VOA
Akiadhimisha miaka 86 Robert Mugabe rais wa Zimbabwe kuwa wachunguzi wa masuala ya Siasa duniani wameona Robert Mugabe anataka kukaa madarakani mpaka kufa kwake...
Rais Mugabe akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa kwake anataka akae madarakani mpaka kufa kwake source VOA. wandugu imekaaje na ukilinganisha na Sisiem na Mugabe = ............
Napenda kusema , kume kuwa na tuhuma nyingi , dhidi ya uendeshaji wa kesi inayo mtuhumu babu Seya na mwanawe kuwa hakukuwa na uangalizi mzuri kwnye ushahidi ,kitu ambacho kimepelekea wako...
Wana JF, tukitafakari kuelekea uchaguzi, maoni yangu ni kwamba tunahitaji Rais Mwendawazimu ili kumaliza au kupunguza matatizo tuliyonayo kwa sababu sifa za mwendawazimu ni pamoja na kutokuwa na...
Chile was ready for quake, Haiti wasn't
By FRANK BAJAK, Associated Press Writer Frank Bajak, Associated Press Writer Sat Feb 27, 8:44 pm ET
PORT-AU-PRINCE, Haiti The earthquake in Chile was...
Nilikuwa napenda kusoma news kutoka website hii,lakini sasa niko fed up,maana
kuna habari nyingi za matawi ya CCM UK na habari za CCM kwa ujumla ,rather than general news za maendeleo ya taifa...
Habari zenu wakuu wangu..!well.nimeona ni vyema nikawajuza kinachoendelea hapa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu j.k.nyerere.Kuna hii ndege ya shirika la kizawa la air tanzania iliyokuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.