Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Natumaini kwa uwezo wa Mungu mko wazima, Leo kwenye misa ya asubuhi kanisani Azania Front mchungaji aliyekuwa anahubiri katufunulia siri nyingi sana za sheteni nakutupa shuhuda mbalimbali jinsi...
0 Reactions
132 Replies
20K Views
Nimekuwa nikistajabishwa na hili tangazo la kwenye luninga ambalo lina waonyesha katuni wakizungumzia jinsi ya kujikinga na Malaria kwa kutumia chandarua chenye dawa.Kinachonishangaza ni kuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
V-P: 50 pct of Tanzanians lack clean, safe water By Dominic Nkolimwa 19th February 2010 Vice-President Dr Ali Mohamed Shein. More than 50 per cent of Tanzanians have no access to...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Katika hii link hapo chini kuna television za nchi nyingi sana ,isipokuwa Tanzania siioni,television zote na baadhi zipo live kabisa ,wausika kama mkisoma apa basi ni bola mkafuatilia na kutuungia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku za karibuni jamvini kumekuwa na malumbano ya kidini yasiyo na idadi. Je nini faida ya malumbano haya? Mi naona hamna mafundisho yeyote isipokuwa ni kukashifiana na kubezana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF nimepigiwa simu na Best yangu analalamika sana kuhusu hizi Blog zinazoitwa za Jamii na sio hii ya www.jamiiforums.com hii inatenda khaki bin khaki ila sasa hizi nyingine blaaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamii forum natafuta sehemu ya kufanyia field,nipo chuo kikuu cha dodoma nasomea B.com. Tumepewa wiki 2 ili tutafute sehemu za kufanyia field, kwa sasa nipo hapa Dar nimekuja kutafua hiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jamani wana jf naomba tuchangamkie ofa ya babalao mwl wa ujasiriamali alotoa hapa jf kati ya watu 10 mm ni wa 1 nahitaji watu wengine 9 jamani ni kwa faida yetu wenyewe. jamani walotayari...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huo ndiyo ujumbe walioweka wauza magazeti mkoani Iringa ili kupunguza idadi ya 'watazamaji' wanaosoma magazeti hayo yakiwa yametundikwa kwa kuuzwa. Vijana wauza magazeti katika eneo la Posta...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii kali....Mkubwa safarini Greece n Jordan, huku wafanyakazi wa TRL mpaka ss hawajapata mishahara yao.... Mhh!!!!!!!!!!!.......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
By Rhonda Cook The Atlanta Journal-Constitution Globe-traveling Brits have spoken. The United States has more beautiful people than any other country. Of course, concedes Briton-based...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jengo la NBC Corporate House lililopo kwenye mtaa wa Maktaba na Sokoine Drive linaungua. Wafanyakazi wote wametoka nje. Mwenye news zaidi atudondoshee.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie nini chanzo cha wewe kunywa Redds,value,konyagi,Uhuru,Serengeti,Safari,JB,Sirminoff,wanzuki,Ulanzi,Jack Daniel,Gongo. Mimi kwanza kabisa rafiki zangu wote walikuwa cha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
What a church, Finger of God church also in the US Kenya and South Africa! Run by Mr Hellon in Kenya Finger of God Ministries International, as a registered church which has been running in...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
New Orleans - Mardi Gras 2010 is a turning out to be an important milestone for the City of New Orleans. City Hall has run attendance numbers and thinks this the largest Mardi Gras crowd since...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo asubuhi watumishi wa shirika la umeme Tanesco walifika katika mbele ya kanisa la Full Gospel Bible Fellowship kwa nia na madhumni kuendeleza zoezi la kusimika nguzo kwa ajili ya umeme. Mara...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume mwanamke na mwanamke wana umri sawa mwanamke ni mdgogo kuliko mwanaume?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
10 Failed Doomsday Predictions With the disaster film "2012" and the current hype about Mayan calendars and doomsday predictions, it seems like a good time to put such notions in context...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Nakumbuka miaka kadhaa ya nyuma kulikuwa na tetesi mbili, ya kwanza, kwamba aliyekuwa Rais wa Marekani, George Walker Bush na wenzake, walikuwa wamekingia mkataba na Serikali ya Awamu ya Tatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We makaka,mdada,mbaba,mmama unayesoma hii na unayependa kutembelea humi jamvini nani alikufundisha kuvuta sigara aina yoyote ile,SM,nyota,embassy Marbollo. Ulikuwa na umri wa miaka mingapi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom