Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
HATIMAYE Mahakama ya Rufani nchini kesho inatarajia kutoa hukumu ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking, maarufu kwa jina la ‘Babu Seya’ na wanawe watatu. Watoto hao wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumekuwa na tatizo na kiwanja chetu kuvamiwa na mijitu yenye pesa ambayo haina hati za ardhi. Hata baada ya kuwaelewesha askari wa kituo cha Kawe juu ya tatizo hili wao wameendelea kujibaraguza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani nimeshangazwa sana na hili leo hii pale sali alipopewa mh dokita silaa akauliza iweje internal auditor awepo kwenye audit comitee tena kama katibu,...sasa how come anajichunguza mwenyewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama asingekuwa shemeji yangu ningesema ana akili za kitimoto weazir simba alliulizwa majuzi inakuwaje kuhusu sakata la rada akiwa na akili zake timamu ajanywa pombe aliijibu ajapata taarifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni nini hii maneno? Ni wapi palipoanzia kuharibika? Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku? Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
AFISA mtendaji wa kijiji cha Marambeka wilayani Bunda, mkoani Mara, Kipa Kigombe (52), amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Bunda, akituhumiwa kumkata masikio, Shaga Isaka, kwa madai ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MWALIMU wa shule ya Msingi Mtwivilla mjini Iringa, Alexander Kapolesya, anadaiwa kumuua mwalimu mwenzake, Ernest Komba (48), wa shule hiyo hiyo wakati wakimgombea mhudumu wa baa (Bar Maid)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jana nilikutana na watu wakijadili watarajiwa wa kuongoza TSN. waliotajwa ni Muhingo Rweyemamu ambaye alihusishwa na kusafisha ufisadi na kuwa ataigeuza dailynews chombo cha kusafishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ngumi yamuua dereva wa daladala DEREVA daladala Bw. Geofrey Sendwa (32) mkazi wa Kitunda Kivule amefariki dunia baada ya kupigwa ngumi na dereva mwenzake wa daladala katika kituo cha Magomeni...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nguli - Potelea mbali jirani yako akipata ajali ya moto au kuuguliwa na mwanae unakuwa wa kwanza kumsaidia pasipo kujali mahusiano yenu. Kwanini? First Lady1 - Kwanini si...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
10th February 2010 Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) Wanafunzi tisa wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) wanashikiliwa na Polisi wilayani Lushoto mkoani Tanga, baada ya kubainika...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kama haifunguki an real sorry
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tupo wengi dunia hii (Tz sasa tupo 40million). Tunakutana kila kukicha. Nini 'polite way' ya kumuita mtu ambae humjui jina na pia wakati mwingine hata kama m2 unamjua jina kwa kua hamjazoeana nae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahanini kama haitaoneka tena nimeattach upya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu ma-great thinker, nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS". naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
China finds 170 more tons of tainted milk powder that should have been destroyed by was reused Published: Monday, February 8, 2010 | 12:52 PM ET THE ASSOCIATED PRESS BEIJING - The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzanian drug barons nabbed in major narcotics crackdown in Spain By ThisDay Reporter & Agencies 8th February 2010 POLICE in Barcelona, Spain have busted an international drug trafficking...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWa miaka kama nane sasa napambana na kujifariji kwamba bongo inaaza kusimama, nikajipa moyo kwamba tutasonga mbele hasa baada ya slogan ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya vilevile wamarekani na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii site ina list job openings for Tanzania Kenya and Uganda. Check it out: http://www.brightermonday.com/jobs/default.asp?part=bm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndege hiyo ya British Airways 777 ilikuwa ina abiria 136 kutoka Beijing ilipokosa nguvu wakati inatua katika uwanja wa Hearthrow, magharibi mwa London, mita 330 kabla ya kufika kwenye njia ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom