Ni kweli kwamba Jamii forums, inaandika mambo mengi tena kwa uwazi.Pongezi kubwa sana. Lakini je, ni wangapi wanasoma? Ni wangapi wana uwezo wa kuingia internet? Wale wanaoingia, mbali na...
WanaJamii,
Naomba mnijuze, kuna watu waliopata kusoma sekondari (O-Level) pale Forodhani au Tambaza, afu wakapitia High School pale Mkwawa.
Wengi wenu nadhani mpo katika hii JamiiForum. Sasa...
A 25-year old student, Evance Rwelamila, from Ibaraizibu village, in Bukoba Rural District, has allegedly committed suicide after failing Form Four examinations in three consecutive attempts...
Nimesoma gazeti moja la leo na ilikuwepo picha ya Mh Pinda na Lowassa na Chenge. Gazeti limeandka "WAZIRI MKUU PINDA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA........." swali ni je lowassa ni mstaafu au...
IMEELEZWA kwamba asilimia 30 ya Watanzania hawajui kusoma wala kuandika, hali ambayo husababisha kupungua kwa kasi ya maendeleo nchini.
Hayo yamebainishwa bungeni na Naibu Waziri wa Elimu na...
Naenjoy napoangalia vipindi kama :
-Face The Nation
-Meet the Press
-State Of the Union
-This Week
siku ja jumapili huko states.
Najiuliza kwa nini Tanzania,kama kweli tuna demokrasia,na sasa...
Mamia ya wapiganaji wa Somalia wanaotii kundi la kiislamu la al-Shabab wamemiminika mjini Mogadishu, huku walioshuhudia wakisema kuna matarajio ya kuwepo mapigano mazito.
Walioshuhudia wameripoti...
WANANCHI wakazi wa Mkimbizi katika Manispaa ya Iringa wanaodaiwa kuwa na hasira kali wamemuua kijana mmoja ambaye jila lake halijafahamika kwa tuhuma za wizi.
Wakielezea undani wa tukio hilo...
Mbaya wa Jerry Muro matatani
na Mwandishi Wetu
HATIMAYE mlalamikaji aliyemwekea mtego mwanahabari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro, na wenzake wawili, Michael Wage Karoli...
AJUZA wa miaka 80, mkazi wa kitongoji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo amebakwa na kijana mwenye umri wa miaka 35 na kusababishiwa majeraha makali katika sehemu zake za siri.
Tukio hilo...
Umasikini Tanzania unasababishwa na nini ikiwa vitu vyote vinavyoweza kufanya nchi ijitosheleze tunavyo!!Tuna kila kitu kinachotakiwa Duniani lakini sisi bado ni masikini kwa miaka zaidi ya 45 ya...
Sometimes iko ngumu kama big g mpya,
some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu.
Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza,
hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda...
hey guyz.najua mtu unapokua kazini au ktk mihangaiko yako ya kila siku kuna mahala fulani unakwenda kupata lunch.sasa swali langu ni kwamba je hapo mahali unapokula lunch yako ni kitu/vitu gani...
hey guyz.najua mtu unapokua kazini au ktk mihangaiko yako ya kila siku kuna mahala fulani unakwenda kupata lunch.sasa swali langu ni kwamba je hapo mahali unapokula lunch yako ni kitu/vitu gani...
A Magnitude 4.3 earthquake Hits Northern Iillinois this morning...Oh yes i felt it@ 3.59AM (Just before my alarm went off so i can pray)....it was wierd feeling and i thought of people of Haiti...
By email of: Oct 22, 2009[/B]
President Jakaya Kikwete placing the National flag to Mr Ashis Thakkar, Uganda-based businessman who is on course to travel to outerspace on board the Virgin...
Mpayukaji wa Msemahovyo
WIKI jana ilikuwa tuandike barua kwa Jack Zumaa kumfahamisha kuwa hatupendi matendo yake.
Kipigo na mauaji ya jamaa yetu yalitufanya tusifanye hivyo. Hata hivyo nina...
Wakuu,
Kweli sisi nchi zisizoendelea. Yaani mshahara wa mwezi mmoja wa Drogba unaweza kulipa Maprofesa zaidi ya 320!!!! kila mwezi hapa nchini kwa wastani wa shilingi milioni 3.0 kwa kila...
Leo nilipokuwa nafanya mazoezi asubuhi nikamuona nyoka kwenye mtaro.
Alikuwa na unene wa nchi mbili na urefu wa kama mita moja.
Kwa ajili ya kupigwa na baridi alikuwa amezubaa zubaa, nikatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.