Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii sijui tuiite simu yenye bunduki au ni bunduki yenye simu..anyway ni vizuri tukajionea sehemu teknolojia inapotupeleka.,ni changamoto kubwa kwa wana usalama.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa IGP amefanya mkutano na wana habari. Mwenye taarifa yeyote juu ya hili naomba atujulishe jukwaani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina taarifa imenifikia muda wa dk mbili zilizopita kuwa Mh Suleiman Sadick ananunuwa magazeti yote ya Ijumaa kwa kuwa yameandika skendo yake ya Kumuita Amosi Makala kuwa ni malaya katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna ripoti inayohusisha Marekani na Maafa yaliyotokea kule Haiti. Kama yaliyopo kwenye hii ripoti ni ya kweli na Marekani imehusika basi dunia sio mahali salama tena ya kuishi. Isome kwa undani...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Ndugu wadau Nimekerwa sana na namna polisi wanavyoliendesha suala la Jerry Muro hasa kamanda Kova ambaye anatafuta cheap popularity kupitia sakata hilo. Alianza kwa kusema Jerry muro ametishia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba mchana huu katika eneo la kitumbi Mkoani Tanga kumetokea ajali mbaya ikihusisha basi la chatco lililokuwa likitokea Dar pamoja na Fuso, vifo vipo pamoja na majeruhi,tunaendelea...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
lobsangrampa.org/data/TLRampa.mp3
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo cha watu kuingia makao makao makuu ya polisi na kutega bomu inasikitisha lakini kikubwa ni inatia mashaka juu ya uwezo wa jeshi la polisi na vyombo vya usalama kwa ujumla, hii inatutisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, leo wakati nakuja mjini asubuhi kulitokea kitendo ambacho kilishangaza na kustua abiria wengi katika daladala tuliyopanda... Hivyi unafahamu kuna style imeibuka kwa makonda kubeba shilingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je ni nati zimelegea au?? au ndo ule mtandao wa akina P**e?? http://www.youtube.com/watch?v=bG7moLe6_rU&feature=related
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=cl2Ow-Goxvc haya sheshe ndo hilo,na jamaa kakutwa na pingu na bastola risiti hana,watu wengine unawaona kama watiifu kumbe ni majambazi na waporaji,sasa hii unaweza...
0 Reactions
130 Replies
14K Views
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Uasherati maana yake ni uzinifu baina ya watu wawili ambao hawakuoana kisheria. Madhara ya uzinifu ni makubwa ikiwa ni pamoja na kuleta fitina, ugomvi na hata kuuwana. Maradhi yanayoletwa na...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
WARNING: This post contains graphic images of dead bodies and injured survivors. A man covers his mouth as the stench dead bodies fills the area outside near a destroyed building on January...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Askari huyo aitwaye BWIRE amekutwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo ambalo hutumiwa na wapasua mbao ktk eneo la Ibera wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Tukio hili limetokea ndani ya miezi miwili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
lobsangrampa.org/data/Intro.mp3
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Alikuwa kwenye matembezi yake huko Ibera na alitakiwa kurudi kazini lakini kwa muda wa siku tatu hakuonekana hadi alipo kutwa akiwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo wanalotumia wapasua mbao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Naamini moja ya njia nzuri kwa Rais aliyeko madarakani katika kuwasiliana na watu wake ni kuwahutubia kila mwezi (ikiwezekana hata kila wiki) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau Naombeni mnijuze ni nini mantiki ya hawa kina Majembe kujihusisha na usafiri mabarabarani hususani katika kuwadhibiti waendesha daladala? Je tuseme kuwa Traffick wameshidwa kazi yao au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJf nawasalimu, Taarifa ya juzi kwamba kwenye ofisi ya Mkemia Mkuu kumevunjwa na kuibiwa, imenifanya niwe na maswali hasa ukizingatia ni kwa mara ya tano kwa vipindi tofauti, -Hao wezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom