Salaam WanaJF,
Nimejikuta nikiukumbuka utaratibu wa aliyekuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu yetu Mrema.
Ukiwa unatoka Ubungo kuja Fire pembeni ya barabara kuna...
Marehemu Swetu Fundikira
Inaniwia vigumu sana kutoa shukran kwa mtu mmoja mmoja au kwa makundi kutokana na ushiriki wenu kuanzia kujeruhiwa mpaka mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Swetu Ramadhan...
Wana jamvi asubuhi hii naelekea mkoani Singida hii ikiwa ni mara yangu ya pili baada ya miaka miwili; naambiwa mkoa umepiga hatua kimaendeleo; nakwenda kujionea! Lakini naleta kwenu kuwa huu ni...
Jamani inakuwaje Tanzania yangu wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi? Majambazi wamevamia hapa Shekilago dukani kwa jamaa na kupora pesa na watu 2 wamejaruhiwa na watu wote tuko ndani tumeogopa...
WATU wanne wa familia moja wamekufa baada ya jenereta lililokuwa limefungiwa ndani ya nyumba hiyo kupasuka na kuwaka moto.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamka leo, Kibwenzini Zanzibar wakati...
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....
sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo...
Serikali ya Congo yazuia uuzaji madini Ng'ambo
Kampuni kumi na sita za kuchimba madini zimepigwa marufuku ya kuuza bidhaa zao katika nchi ya ngambo, na utawala wa mkoa wa kusini mashariki mwa...
Kama tulijifunza tokea utoto wetu kuipenda sana nchi yetu Tanzania kwa Mioyo yetu yote na kuiota kila tulalapo na kuona heri kila tuamkapo, ....
Na kama tunaiba tokea utoto wetu, mungu...
Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana bure, unywe uishi kwa matumaini ....na baadae...
Moshi wa jenereta wauwa wanne
Na Salma Said,
WATU wanne wa familia mmoja wamefariki dunia baada ya kuvuta hewa inayosadikiwa kuwa na sumu iliyotokana na moshi wa jenereta katika eneo la Kibweni...
Kuna taarifa ambayo niliipata kwa mmoja wa marafiki zangu kuwa Kuna wafugaji wa kuku wanawalisha Kuku wao dawa za kurefusha maisha za wagonjwa wa ukimwi( ARV) , ili wanenepe na kuuzwa kwa bei...
wadau kunataarifa kuwa kuna bomu limepatikana maeneo ya makazi ya watu msasani jijini leo na wanajeshi wamelipeleka lugalo.
mwenye taarifa zaidi please...
Paka anayejulikana kwa jina la Oscar hujisogeza na kukaa karibu na kitanda cha mgonjwa aliyebakiza muda mchache kufariki.
Iwapo ndugu wa mgonjwa huyo watamfukuza paka huyo nje ya chumba cha...
Hapo zamani Mwalimu alibainisha kuwa maendeleo ya taifa letu yalihitaji
a)Watu
b)Ardhi
c)Siasa safi
d)Uongozi bora
Kwa muda wa sasa vipengele c) na d) ni debatable! Hali ya kipengele b)...
Jana jumatatu 01/02/2010,Nilikuwa naangalia TV ya channel 10 kipindi cha nyota zenu na sheikh Yahaya, nilishtushwa na utabiri wake ambao kimsingi alisema "Mwaka huu kutatokea kifo cha kiongozi...
By JEFF KAROUB, Associated Press Writer Jeff Karoub, Associated Press Writer 1 hr 5 mins ago
DETROIT Many Jews consider Christmas Day an opportunity to serve their community while Christian...
Wana JF na Watanzania wote nawapeni pole sana kwa kilio hiki tena. Na wenye taarifa kamili kuhusu ajali hiyo iliyowaua watu zaidi ya 20 papo hapo huko Tanga watupashe kwa undani.
Tuesday, 2 February 2010
E-mail this to a friend Printable version
President for a day: 'Punish corruption worshippers'
President for a day: 'Punish corruption worshippers'
Imagine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.