Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda leo mchana (Ijumaa, Januari 8, 2010) anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja katika wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kukagua athari za mafuriko na jitihada ambazo Serikali...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kila saa 3 usiku TBC wanaonyesha kipindi cha promotion ya zain. Kinachoniwewesesha ni yule mtangazaji wa kike "Doreen", ivi yale matt ni ya mchina au??? kwanini anayaachia vile tena makusudi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina karibu wiki nzima bila picha mpya. Ukiingia huko kuna maelezo ya hitilafu za kiufundi. Kule Kwanzajamii.com hivyo hivyo, hakuna fundi mitambo! Isije ikawa wamehujumiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu niko maeneo ya katikati ya jiji la DSM asubuhi hii tulipaki gari yetu Mtaa wa Jamhuri kwa dakika kama 40 hivi , tuliporudi tena tulikuta gari yetu imebadilishwa namba na pembeni yake...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hotuba ya kumaliza mazishi!!! Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
COLORADO,Marekani MTOTO wa kiume raia wa hapa mwenye umri wa miaka 14 anadaiwa kuwaua wazazi wake kwa kuwapiga risasi baada ya kuagizwa kufanya kazi ndogondogo za nyumbani. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba niulize wana JF, hivi huu ustarabu wa kuweka watu mijini eti wafunge magari yanayo paki mahali pasiporuhusiwa umetoka nchi gani, je hizo pesa mkaguzi mkuu wa serikali anazifahamu. Mji wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF ninahoja. Kwa nini Tanzania tusianzishe chama cha wenye magari, ambacho kitaweza kutetea haki za kila mmiliki wa gari hapa nchini, maana tumechoka na manyanyaso ya kodi zisizo na kichwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Clouds wanapiga nyimbo zilezile kila kipindi. Leo nimesikiliza vipindi vya kuanzia asubuhi hadi muda huu. Yaani mtu unaweza kuotea nyimbo zitakazo pigwa kwenye kipindi cha kesho. Hatari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amekubali kumaliza sakata hilo ambalo liliibuka mwishoni mwa mwaka jana baada ya Tanesco kutaka kupitisha nyaya za umeme juu ya mabango ya kanisa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika ile hali ya kutapatapa kwa Wahindi wa jengo la Myfair Plaza pale Mikocheni hali sasa yaelekea kuwa tete au mbaya. Kwa wale wanapafahamu wanajua ya kuwa wapangaji/tenants wengi wakubwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"NINAKUMBUKA na kamwe siwezi kuusahau mwezi Agosti, mwaka 2007, hii ni baada ya mimi kutokewa na tukio la kuzomewa na kikundi cha wananchi katika mkutano wa hadhara ambapo Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakulu, heshima mbele! Hivi kuna ukweli wowote kwamba wanaopenda kuweka tinted kwenye magari ni wazee wa ku-Do? Mara nyingi utakuta watu wanaweka tinted kwenye vioo ya vyuma kwa ajili ya kuficha...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Jamani mwenye uelewe ama muswaada wenyewe kuhusu Wauguzi na Wakunga kama ulivyojadiliwa leo Bungeni naomba atumwagie japo kwa muhtasari. Hasa implications zake katika suala zima la huduma za afya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Marekani yakosoa utawala wa Nigeria Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton amekosoa vikali utawala wa Nigeria kwa kutowajibikia majukumu yake vilivyo. Bi Clinton amesema hali mbaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Scott Moore kushoto akiwa na mumewe Thomas kulia January 27, 2010 Mwanaume wa nchini Marekani ambaye alizaliwa kama mwanamke kabla ya kubadili jinsia yake kuwa mwanaume anatarajia kujifungua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasanii wetu wakiimba nyimbo zao kwa ajili ya biashara zinakuwa tamu sana kuzisikiliza. Haohao wakiimba nyimbo za maafa au magonjwa hutopata hamu hata kidogo ya kuurudia wimbo huo. Midundo mibaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nashangaa sana hivi matiti makubwa yanauzuri gani? Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza! Mbona wenye matiti madogo wengi wao wanayaficha? Waliowengi wenye matiti makubwa hupenda...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Back
Top Bottom