Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba Muhubiri Anthony Lusekelo(almaarufu kama MZEE WA UPAKO) amesababisha ajali na kumgonga mwendesha pikipiki mpaka kupelekea kifo chake. Ajali hiyo...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Woman risks jail for noisy sex A woman whose noisy sex sessions were officially branded anti-social behaviour is liable to find herself behind bars if she fails to stop excessively loud...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa "Mtemi" wa TZ kuteua wastaafu katika nyadhifa mbalimbali mfano...Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Mstaafu Mark Bomani kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkazi mmoja wilayani Muleba katika mkoa wa kagera anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake wa kike wa kumzaa. Bwana Alex Felix, anatuhumiwa kumpa mimba binti huyo mwanafunzi wa...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanandugu napendabinafsi kumpongeza mh huyu kazi nzuri na usiriasi anaouonyesha kwa madereva na mapolisi wenzake ;bwana huyu achoki kuweka mafuta na kuanza kwenda kwenye ajali kutoka moshi to...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanandugu tukiwamitaa ya himo tumeanza kuona matendo machafu ya jeshi lletu mh mwema tunaomba fwatilia hili,kuna ujambazi umefanyika mwezi mmoja uliopita,mmoja wa waliouwawa alikuwa polisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanaume siku hizi tunatisha na tumewashinda WANAWAKE kwa kupika. temeblea sehemu za starehe/biashara uone tena wa asili ya kihindi ndio balaa zaidi. Kwa kuchoma nyama weusi tunaongoza. Wanawake...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Nina mtoto wa jamaa yangu wa karibu anatumia madawa ya kulevya muda mrefu – miaka kumi. Katika kipindi chote hicho, Mzazi wake (Mama) kamsumbukia sana kupata suluhu ya kumfanya aache madawa mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa sasa TBC Taifa wanajadili tatizo linalozidi kushamiri hapa Tz la ndugu kugombea maiti. Hii inafuatia jamaa mmoja kupoteza maisha baada ya kushinda kesi aliyofungua wakati akigombea maiti ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ndugu wanajamii, Katika moja ya post za jamii forums kuliwahi kuwa na picha niliyoiweka kwenye attachment. Jumatatu nitakuwa na conference na watu fulani wa huko nchini Uholanzi kuhusu changamoto...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waliomaliza JKT wadai watajiingiza kwenye ujambazi Fredy Azzah na Vicky Kombe BAADHI ya vijana waliomaliza mkataba wa mafunzo na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Desemba 25 mwaka jana...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hawa Zain wanachezesha droo ya "Ongea uzawadiwe" lakini hizo namba wanazopiga hazionekani kwenye screen! Sasa tutajuaje kama hawapigii mtu wanayemfahamu? Sio wizi mtupu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalam aley khum ndugu Watanzania, ni siku ya kwanza ya mwaka 2010 hii inatuonesha kuwa tayari tumeumaliza mwaka wa 48 tangu nchi yetu ipate uhuru, tuanaingia mwaka wa 49. Pamoja na hayo taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JERRY OKUNGU An east african perspective No, those were not Muslims that rioted in Nairobi for eight good hours last Friday. They were not even Kenyan Somalis that went to Jamia Mosque armed...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Wapo watu wengi katika makanisa yetu ya roman lutheran wanajitahidi sana kutoa mali nyingi kutoa sadaka kubwa hasa wakati wa leta mazao galani wanajitahidi sana;vyema iwapo wewe ulikuwa mmoja wapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndo inakuaje hii Frederick Katulanda, Ukerewe SIKU chache baada majeruhi wa tukio la ujambazi lililoua watu 14 kwenye kisiwa cha Izinga, Ukerewe kutoboa siri kuwa askari polisi wawili walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanaosema hivyo hawana elimu yoyote isipokuwa wako reactive eti kutokana na mabalaa yanayotokea hivyo Muumba hayupo, badala ya kuwa- rational. Wengi wao hawajui madhumuni ya kuumbwa kwao na kuwepo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
25. Kyoto University , Japan Kyoto University rated as 25th best university in World University Rankings 2009. Founded in 1897, Kyoto University has deeply considered its traditions of liberal...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Raisi wa Malawi Bingu wa Mutharika anategemea kufunga ndoa siku ya valentine tarehe 14 Februari 2010. Raisi Bingu atafunga ndoa na waziri wake wa utalii Calist Chipola. Bingu wa Mutharika mwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiwa unaelekea Gongolamboto (Barabara ya Kisarawe/Pugu), utakutana na njia panda ya kwenda Segerea/Kinyerezi na ndiyo hiyohiyo inayoelekea kituo cha POLICE staki shari - UKONGA. Upande mmoja wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom