Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri agoma kuivunja TRL na Irene Mark LICHA ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu, Omary Chambo, kuihakikishia Kamati ya Bunge kwamba mkataba kati ya serikali na Kampuni ya Rites utavunjwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii nimeipata asubuhi hii. Mchungaji Antony Lusekelo, Mzee wa Upako' amepata ajali kwa kumgonga mwendesha pikipiki na yeye kulitelekeza gari lake eneo la tukio kwa kutoka mbio na kutokomea kusiko...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari…..watu...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Polisi yahusishwa mauaji ya raia Ukerewe Frederick Katulanda, Ukerewe WAKATI Jeshi la Polisi likitangaza kuendelea na msako...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima mbele kwa wana JF wote! Kumekuwepo tabia ya wanasiasa kadhaa hususani wakuu wa wilaya nk kupiga marifuku uuzaji wa mazao ya kilimo katika masoko yanayotokea kwa kisingizio cha usalama wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear JF, It is amazing and very interesting,the ionic detox footbath process is an amazing cleansing method for detoxifing your entire body by bathing your feet in worm water while using positive...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, Ukipewa Kati ya kilomita Moja ya Barabara ya Lami na Computer 1,000 mpya aina ya Dell au HP nini utakacho chagua na kuchukua?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna habari hivi sasa kuwa JK amegoma kufungua jengo la CRDB shinyanga lililokarabatiwa na nyeti zinasema kuwa kuna ubadhirifu wa hisa za wananchama -- ambazo zimechotwa kinamna na -- kutokana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vibonge Kuanza Kulipishwa Nauli za Watu Wawili Kwenye Ndege Mwanaume huyu kibonge alipigwa picha wakati wa safari yake mwaka jana kwenye ndege ya shirika la ndege la Marekani la American Airlines...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Many tall buildings in Africa are not built with disaster in mind The earthquake that hit Haiti last week showed how fragile life really is. One moment, the people of Port-au-Prince were going...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUME ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imeanzisha mfumo mpya wa wanafunzi kuomba kujiunga na vyuo vikuu ambapo hivi sasa wanafunzi wanatakiwa kuomba kwa kutuma ujumbe kwenda namba 15789 au kutumia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi wadau nashindwa kuelewa huyu mhandisi kawambwa anayetetea wahindi wa TRL je ana hisa pale? au ni uoga tu wa kuiogopa IMF? Mawaziri kama kawambwa hawawezi kuiendeleza Tanzania, natoa wito...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku za karibuni ni rahisi kusikia kwamba "Askari wetu wamefanikiwa kuwauwa Majambazi kadhaa katika tukio la kurushiana risasi ila tunashukuru hakuna Askari aliyejeruhiwa" Ukweli utathibitishwaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Serikali iko wapi ili kuweza kuhakikisha mauaji kama haya hayatokei, lini serikali imeweza kuwachukulia hatua washiriki wa mauaji kama haya? Tunajua iliwachukua muda muda mrefu kwa viongozi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Saed Kubenea MABILIONI ya shilingi za walipa kodi, ambayo Edward Lowassa alishinikiza yalipwe kwa kampuni ya kutengeneza matairi ya General Tyre (GT), yameteketea. Taarifa kutoka kiwandani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo, jana na juzi nasikiliza habari za mkanganyiko uliotokea huko Ikulu, kuhusu magari ya kubebea wagonjwa yaliyokuwa yakabidhiwe na Raisi wetu siku ya Jumatatu 18/01/2010. Badala ya kupewa wilaya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itawasaidia 2010 mumchague nani... Julius Nyerere Chimwaga 1995. http://vodpod.com/watch/1244258-j-k-nyerere-dodoma-tanzania-1995
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni utafiti wa kitaalamu juu ya siasa za Zanzibar na mabavu yanavyotumika kuendeleza kuvitawala visiwa hivyo chini ya CCM. Ningelipenda mukakumbuka kuwa kushinda chaguzi ni moja ya sera ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sudan would accept separation, says President Bashir Omar al-Bashir faces a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa watawala ni wazuri kweli katika kubuni kero. Unatoka na gari lenye sticker safi ya insurance na road licence (ambazo kila mtu anajua zinachangia ktk pato la taifa). Halafu unasimamishwa na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom