Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
kwanza napenda kuwapongeza wenzangu hawa kwa kipindi chaowanavyokiongoza kizuri kinavutia,;;ila nimeona kabla ya kufunga mwaka tusaidiane kidogo watu wengi wamekipenda sana,mjue na watoto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upo uzalendo na upo uzalendo wa kijinga; kutetea nchi kwenye ujinga ni uzalendo wa kijingA-MZEE MWANAKIJIJI hii kauli ya mm ukweli ndani yake lakini ili kupata solution na ili uweze kuuondoa huu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Trying to introduce 'new titles' to remove inferiority complex, so that the workers could be proud and comfortable with their professions. But 'title' no 10 stole the show!!!! 1. Garden Boy -...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wadau, samahanini kama nitakuwa nawarejesha kwenye mada ambayo huenda ilishawahi kujadiliwa hapo nyuma bila ya mimi kuiona. Ningependa tu kufahamu, ile kura ya maoni iliyoitishwa kuhusiana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ilikuwa ni sherishori pale mchungaji wa kanisa la calvari la urafiki ambae aliamua kumtambulisha kifaa chake kipya baada ya kufiwa na mkewe miezi mitano iliopita,...habari zaidi zinasema mtumishi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi unatakiwa uwe na sifa gani au uwe umefanya kitu gani ili ualikwe ikulu ya Tanzania? Hivi wana JF ni lini wasomi wetu wenye uchungu na nchi yao nao wataitwa ikulu? Au ndio kusema kwamba ikulu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu kumi na tisa wamefariki papo hapo huko Moshi (Same) likitokea Mombasa. Basi mojawapo ambalo limehusika ni Mohammed Trans na gari dogo aina ya Coaster
0 Reactions
20 Replies
3K Views
'Mikono Yako Imejaa damu' - Aambiwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair Sunday, October 11, 2009 2:29 AM Mzee mmoja wa nchini Uingereza ambaye mtoto...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wajameni, kuna tetesi kwenye magazeti kuwa kuna mdada anatangaza TBC1 amekamatika uchawi laiv, hivi ni nani? kama kuna wanamagazeti humu tunaomba mtuambie ni nani. Pili, kuna watu wanatamani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
18th December 09 Wanaharakati waunga mkono maazimio ya MNF Mwandishi Wetu Wanaharakati mbalimbali wamesema maazimio yaliyotolewa kwenye kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We know that NO one is perfect but, Why sometimes its so difficult to say...may be its not always easy to say those things which really matters... ...why its not always easy to say I really love...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mzungu mwingine ammwagia maji machafu polisi na Ramadhani Siwayombe, Arusha SAKATA la raia wa kigeni kuwadhalilisha Watanzania, sasa linaonekana kushika kasi, baada ya raia mwingine wa Afrika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=dJqvSxFQeK4 Bongo hii inawezekana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shuleni nilifundishwa kuwa kabla ya kuingia ofisi yeyote unatakiwa ubishe hodi, usubiri uambiwe karibu ndipo uingie ndani. Na ukiambiwa karibu na kuingia, unatakiwa usubiri uambiwe 'karibu ukae...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu utamaduni mzima wa krismasi na jamii yetu ya Tanzania. Ni kwanini tunaisheherekea sikukuu hii ya kuzaliwa kwa bwana yesu kwa mapombe, shopping za kuzima moto kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisoma gageti la Al-Huda lakini naona baadhi ya habari zake ni za uongo - hasa kama zinahusu Ukristo au Kanisa Katoliki. Huwa najiuliza kwa nini mtu mwenye akili timamu akae chini na...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
UMOJA wa Ulaya (EU) umeipatia serikali ya Tanzania kiasi cha euro milioni 383 (sawa na sh bilioni 750) huku ikiionya juu ya ufisadi na utendaji mbovu unaozorotesha sekta ya miundombinu. Kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi there! I have been trying for 2 days to rechage my TTCL broadband account and it's not opening those links given in portal. There is something like " user info..recharge account....etc" i have...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
WanaJF mwaka mpya ndo huo unakuja wiki mbili zijazo twaingia 2010 Kuna mpango wowote wa kuaga mwaka kwa wanaJF au ndo kila mtu atajifungia kwake?? Nakaribisha maoni
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tahadhari inaendelea kutolewa juu ya madhara na nini kifanyike kuepuka madhara yake kama zitanyesha.HEBU TUSAIDIANENI KUTOA ELIMU HII KWA WATU WENGI ZAIDI TUSIKAE KUSUBIRI SERIKALI IFANYE KILA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom