Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii imenikera kwa kweli,mdogo wangu ana motto wa miezi nane joto lilikuwa linazidi mpaka kufikia 38.7C Tukampeleka Aga Khani wakapima damu jamaa akaandika 4/500 MPS meaning malalia nne tukampeleka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matatizo ya ufisadi/utapeli Tz hayataisha milele!Tunaelekea kuwa kama Nigeria,labda ahueni population yetu ni ndogo hivyo resources zipo. System ni na maana serikali,bunge ,mahakama na vyombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chidi Mokeme is a romance scammer! New shocking details Monday, 07 December 2009 I am writing this message to warn all female fans of engaging with online contact with Nollywood actor...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tumaini Msowoya, Iringa SERIKALI imeahidi kushughulikia tatizo la vyeti bandia na shahada hewa ambazo zinazozidi kushika kasi na kupoteza mwelekeo wa taaluma nchini. Akizungumza katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
We have about 2 weeks remaining before the start of the New Year. This is a list of most fascinating people in Tanzania for 2009. Watu hawa wamebadilisha kwa kiasi fulani mwelekeo wa nchi, au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa hisani ya Michuzi blog.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
na Edward Kinabo MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, anakusudia kukichukulia hatua Chama cha DP, iwapo itabainika madai aliyotoa Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA KUKUTANA DODOMA KUJIPANGA NA UCHAGUZI MKUU UJAO Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi hapa nchini, kesho Jumatatu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wazee ni kama nimesikia kuwa kuna gari la lililokuwa kwenye mashindano likaanja njia na kujeruhi watazamaji kandokando ya barabara. Kama kuna habari kamili tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Tena kuna watu walikuwa wakiishi nyumba ya kupanga na walikuwa na watoto wawili, mkubwa alikuwa na umri wa miaka minne, na mdogo alikuwa na umri wa miaka miwili. Siku moja usiku wakati wa mchezo...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
House boy anatembea na mke na watoto wa bosi wake wa kiume na wa kike, na house girl anatembea na baba/bosi wake na watoto wa kiume wa bosi wake.(Kwa baadhi tu ya hb na hg na sio kwa wote). Je...
0 Reactions
99 Replies
11K Views
Kuna huu mkutano wa wakuu wote wa polisi wa mikoa Tanzania unaoanza leo mjini Dodoma. Habari zinasema kuwa mkutani huo ni mkakati wa serikali kujipanga kwa ajili kudhibiti wanachoita wao ulinzi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MNANIFANYA nitoe kicheko cha uchungu! Inawezekanaje mnaambiwa mnaletewa maisha bora wakati haya ya kawaida tu yanawashinda? Mnataka kukimbia kabla ya kutembea? Bongo ni vituko juu ya vituko na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watanzania wengi wanapiga kelele kila siku kuhusu Tanzania mwelekeo wake. Kwa maoni yangu tutapiga kelele kila kukicha kwenye JF lakini kama wengi wetu hapa hawatahakikisha kwamba kuna mabadiliko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, usiku wa kuamkia leo (kuanzia saa tatu hivi) nilipata nafasi nyingine ya kusikiliza kipindi fulani kutoka radio inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislamu hapa Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii nimeipata kwa bro Michuzi.Naona ni bora hawa viongozi wetu kupewa Mitsubishi Canter kwa ajili ya kubebea mizigo,maana haya mashangingi kubeba nyasi ni kufuru kwa watanzania.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo Dar imezizima who is who wa wenye Dar walikuwepo kwenye mazishi ya MTUMWA LUKONGO ambaye alitutoka na kazikwa makaburi ya Kisutu Inna lillahi wa Inna illahi Raajuun
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa nini ni KLM tu ndio inatua KIA? Ningependa kujua ni kwanini???KLM tu kati ya ndege zote za kimataifa zinazokuja Bongo ndio inayotua KIA?NO BA,Emirates,Swiss and other more
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba alitetea vyema hoja yake mwishoni mwa mwezi Novemba na ametunukiwa shahada yake ya Uzamili katika Utawala wa Biashara (MBA). Hongera..! Tunakusubiri kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
UPDATE 2: Wana JF; ule muda wa ile Conference yetu umewadia na maendeleo ni mazuri. Kuna mbadiliko kidogo ya Kimsingi: Dates: Saasa itakuwa ni kwa siku moja tu: Friday 18th December 2009...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom