Wapendwa wakati tunaelekea kusheherekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo si vibaya tukatafakari lengo la sherehe hizi. Binafsi nimekuwa nikijiuliza kama sherehe hizi zimebaki kuwa za kiimani zaidi hasa...
Ni hivi karibuni manispaa ya ilala imeanzisha jeshi maalum la mgambo la kupambana na wanaotupa uchafu ovyo na kusimamia usafi wa jiji,
Ni mda mfupi tu uliopita tangu jeshi hilo lianzishwe...
- Biashara ya vituo vya Mafuta (petroli) inaonekana kukimbiliwa na wafanyabishara na wengine kama Mansoor Mwanza wanaanzisha vituo mahali ambapo hakuna - dalili za wateja - Pale Sabasaba Mwanza...
We all need to learn new skills and expand our horizons to stay successful in our careers. What's your favorite way to, in Stephen Covey's words, "sharpen your saw? For some tips on how to stay...
Ndugu Wana-JF,
Huenda nikaenda kwenye lugha yenye extremes kwenye hii thread, maana tayari adrenalin level yangu ishapandishwa na watu wa Ofisi tajwa hapo juu.
Ofisi ya NSSF hapa Arusha ina...
Last night WABC (ABC's owned-and-operated station in New York) broke the story that Oprah Winfrey will be ending her broadcast talk show in 2011. She's decamping to cable, where she will run OWN...
Ikulu Mawasiliano: Blogu ina milikiwa na nani???????
Inajieleza wazi tu kama ifutavyo kwa kimpombo:
"This blog is operated by THE DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATION OF THE UNITED...
Uwe Makini na Tovuti Bandia
Kumekuwa na tatizo la wanunuzi wa vitu kwa njia ya mtandao kupelekwa Kwenye tovuti bandia kwa ajili ya kununua bidhaa Fulani Kwenye tovuti hiyo wakati mwingine bila...
Wakuu, hii nimeshindwa kuiweka kwenye forum ya "kero" kwa kuwa hata hivyo wahusika hawatasoma.
Nataka kuzungumzia "my worst banking experience". Yaani benki ya Barclays London (makao makuu na...
Je Tutafika kwa hali hii ya kujali sherehe kuliko Kuwekeza kwenye elimu??? Ebu tusome hii tahariri ya gazeti la the Guardian on Sunday
Tanzanians may have spent close to Sh90 billion to...
Watu hawa wanatuinfluence mpaka leo kwa uzuri na mabaya.
-Wazungu walileta ukoloni na ukristu
-Waarabu uislamu
-Wahindi biashara na ufisadi.
Yupi ni bora
Wakuu naomba mwenye taarifa za hivi karibuni za mahusiano yetu kiuchumi na EU ani update. Nakumbuka kama miaka miwili iliyopita mhe Zitto aliwahi kuzungumzia issue ya Economic Partnership...
Nimekuwa nikisoma mijadala mingi humu JF na kuona jinsi watu wanavyochangia kwa mitizamo tofauti tofauti. Katika hilo nime note lugha inayotumika kuunga mkono au kupinga hoja ina umuhimu mkubwa...
Duka la kwanza la bangi lafunguliwa MarekaniSunday, November 22, 2009 1:49 AM
Duka la kwanza la bangi limefunguliwa nchini Marekani kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani.Duka la bangi...
Kampuni ya sonagol kutoka china inayotarajiwa kupewa uwanja wa ndege wa dar es salaam na kampuni ya ndege ya tanzania wamelalalmika kwamba moja ya sababu zinazofanya wabia wengi wazuri kuikimbia...
Wakuu, heshima mbele.
Nimeona niipost hii thread kwenye jukwaa hili la siasa kwa kujua kuwa jukwaa hili ndiyo jukwaa nguli la mambo ya siasa.
Hivi ni kwa nini magazeti mengi ya Tanzania hujaa...
Monday, November 16, 2009 10:00 AM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala ya jijini Dar es Salaam, imemuhukumu mfanyabiashara Mohamed Yusuph (27), mkazi wa Kariakoo kutumikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.