Nimesoma habari kwenye kwenye blog ya Michuzi kuwa wale matapeli wa WFP wamekamatwa jana. Kama kuna mtu ana habari zaidi naomba atuletee kuhusu hao matapeli.
Missionary in Africa
A missionary is sent into deepest darkest depths of Africa to
live with a tribe. He spends years with the people, teaching
them to read, write and good Christian values. One...
HAYA MAJITU MAPUZI KWELI KUNA MAJINA YAMEKUTWA ZAIDI YA 20,000 YA WALIMU FEKI NA YAMEANDALIWA NA WATUMISHI WA WIZARA SASA HAWA NDIO WANAOONEKANA KAZI KWELI KWELI..WAZIRI TUJULISHE YALE MAJINA...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA JAJI MKUU KUHUSU MAHAKAMA MWANZO TEMEKE
Mheshimiwa
Napenda kuleta kwako malalamiko yangu kuhusu mahakama ya mwanzo Temeke hapa Dares salaam.mahakama hii kwenye...
WASHINGTON Crashing a state dinner at the White House apparently takes a security breakdown as well as some kind of nerve.
The Secret Service is looking into its own security procedures after...
Naomba nikiri katika viumbe ninavyoviogopa, nyoka anashika nafasi ya kwanza. Unaweza usiamini hata kuandika jina lake imenigharimu sehemu kubwa ya ujasiri wangu - naogopa hata picha yake!
Pamoja...
Paulo Cuelho
Talking with the devil
The man is admiring the sunset on a beautiful beach, beside his wife, enjoying well-deserved holidays. Everything seems absolutely in place, when all of a...
Maswali yangu yako pale pale hayajajibiwa.
Ten Commandments
Darwin 14th December 2008, 04:32 PM
Hii thread nimeianzisha kwa ushauri wa Max aliyesema kama ninataka nianzishe ili apate...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni, inatarajia kumfikisha mahakamani mfanyabiashara maarufu nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, kwa kukabidhidhi matela ya kubebea takataka...
Wakuu Kuna ishu moja inanitatiza...Tumekua tukisikia watu mbalimbali Wakitanguliza Jina la Cheo kabla ya Majina yao....kama vile Balozi, Dr., Prof..sasa nauliza tuna viongozi wengi wamepitia...
Watu watatu nchini China ambao walituhumiwa na hatimaye kushitakiwa kwa kosa la kuweka virutubisho vyenye sumu kwenye maziwa ya watoto na baadaye kusababisha watoto kadhaa kupoteza maisha na...
Mweka mabandiko maarufu wa hapa ndani anayekwenda kwa jina la JOURNAL PAPE amesalimu amri kwa mchokozi wake, na ameamua kuwaagiza mods wa'deactivate' kabisa ukumbi wake wa kutuma na kutumiwa PM's...
OPIYO OLOYA
PERSPECTIVE OF A UGANDAN IN CANADA
Sometimes people say things that even they know cannot be true, but they say it anyway because it allows them to get a few minutes of...
Smiling on Facebook costs Canadian her insurance
(AFP) 3 days ago
MONTREAL Facebook can be a double-edged sword, a Canadian woman learned when an insurance company cut her health...
China imewanyonga watu wawili waliotiwa hatiani katika kashfa ya maziwa ya unga yaliyosababisha vifo vya watoto sita.
Zaidi ya watoto wengine 300,000 waliugua baada ya kutumia maziwa hayo ya...
Wapendwa wanaJF, Heshima mbele!
Nimekuwa nikitafakari kuhusu haki za marehemu. Hivi marehemu anakuwa hana haki tena ya kuwa na siri? Mtakubaliana nami kwamba siku hizi kuna utaratibu wa kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.