Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sipendi siasa na sipendi. Hii ndo nini? ....kutokuwajibika kiakili na fikra muflisi! Inabidi ukistaafu siasa umuungamie mwenyezi mungu. Na ili toba ikubaliwe ni lazima urudishe vile uliwaibia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TAARIFA KWA UMMA. MABADILIKO YA SIKU YA TAIFA KUPANDA MITI Serikali imebadilisha Siku ya Taifa ya Kupanda Miti kutoka Januari Mosi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left" bgcolor="#cccccc"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Sorry
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimepewa sijui niseme cd au dvd inayotangaza utalii wa Tanzania iliyoandaliwa na kutolewa na TTB. haifunguki wala huwezi kusoma hata data moja manually. Nimejaribu ktk devices mbali mbali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MTANZANIA mmoja ambaye ni miongoni mwa mahujaji zaidi ya 1,500 waliokwishawasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hijja, amekamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Madina na kutozwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu kama mzee jaribu kukumbushia very sweet...... Nawatakia safari njema
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Na Margareth Kinabo, Maelezo KAMISHNA wa Nishati na Madini, Bashir Mrindoko amesema haitawezekana kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya IPTL, ambayo inaendeshwa kwa kutumia dizeli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Kikwete anahusika Richmond? KWA wanafalsafa, nilishasema hakuna neno la bahati mbaya. Kila neno hutolewa kwa kukusudia jambo fulani, huwezi kutamka kitu fulani ukasema kuwa ni bahati mbaya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hapa nchini; Wakazi wa Mkoa wa Kigoma na wale waliojirani na mkoa huo wapo njia panda baada ya barabara kuu ya magari kuingia mkoani humo kupitia KIBONDO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kashfa ya Richmond: Ikulu yasema mapendekezo ya Bunge lazima kufanyiwa kazi Na Ramadhan Semtawa BAADA ya mkutano wa 17 wa Bunge la Muungano kushindwa kujadili ripoti ya utekelezaji wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wasiomfahamu Chimamanda ni mwandishi mashuhuri wa kiafrica. Kwenye hii link anaongelea mitazamo tofauti inavyoweza kujenga au kuharibu ukweli. Baadhi ya vitabu vyake ni 'Purple...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This age-old question really has a simple answer. Attempts to answer it, however, and attempts to get around implications of the simple answer are often quite convoluted. What Came First, the...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu hali ya maisha ya mtanzania yanatisha,Kila mahali mitumba ,kila kitu mitumba BALAAAA KUBWA HILI !!!Taifa linaangamia kwa mitumba magonjwa mbali mbali ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je unajua jinsi ya kujilinda unapotembelea tovuti kama Facebook au hi5? Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It makes one think and re-evaluate one's life and the blessings we have.... I know it did for me..... VOTED THE BEST EMAIL OF THIS YEAR If you think you are unhappy, look at them If you...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hii Biashara ya Fedha imezuka kwa kasi sana katika baadhi ya maeneo ya Arusha. Ukifika kituo cha basi kinaitwa Kwa Dr Mohamed, opposite na Summit Centre unakutana na Vijana wanapanga hela...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HIZI ndizo amri kumi kubwa kwa mafisadi popote pale wanapopatikana chini ya Jua la Mwenyezi Mungu. Wote huziheshimu amri hizo kama wanavyoheshimu nafsi zao na punde mmoja akivunja yoyote kati ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
NI historia inayoturudisha nyuma hadi miaka milioni 20 iliyopita, ambapo mapango ya Amboni yaliyopo nje kidogo ya jiji la Tanga, yalipokuwa yamefunikwa na Bahari ya Hindi, kabla ya maji hayo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo ni siku ambayo Wagiriki wanakumbuka miaka iliyopita jinsi wanafunzi wa vyuo vikuu walivyosimama kidete kuondoa Majunta na serikali yao ya kikandamizi hapa Ugiriki.Kulikuwa na kipindi fulani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom