Wana ndugu kuna wifi yangu jamani anavuta sigara...alikuwa akiishi london sasa sijui ni kaugonjwa cha kutokea nje ama ndio maisha...naombeni msaada wana ndugu na jinsi gani ya kumsaidia mtu kama...
CHENNAI: In what holds hope for several patients undergoing surgeries using metal implants, Apollo Hospitals, Chennai, has performed a spine surgery on a six-year-old Tanzanian girl, Maureen...
Hi and I am in the US and who would like to join and make some money
using this computer.
I am in dayton,ohio and this place is terrible,when it comes to a black
person getting a job.
I am tired...
Ni kweli wahindi wameshindwa kazi. Lakini kwa nini imefikia hatua serikali yetu kushindwa kutoa maamuzi mbadala mpaka nguvu ya umma inatumika? Inasita kitu gani wakati kila kitu kiko wazi? Kwa...
Wana JF:
Kaaa chonjo kipindi kinachorushwa na radio mmoja maarufu hapa nchini hapo jana alfajiri walikuja na Topic Moja kuanzia week ijayo hawato soma tena Magazeti yoyote yenye habari yoyote...
One of the major factors hindering the ongoing exercise to register cellular phone numbers in Arusha and most parts of the country happens to be politics.
The Tanzania Communications Regulatory...
Ndugu wapendwa .hivi majuzi chama cha maalbino tanzania wamependekeza wale wote watakaokutwa na hatia ya kuu maalbino wanyongwe hadharani ndugu zao wakiwaona ..hii yawezekana itakuwa fundisho kwa...
Dominic Baronet kulia akiwa na mmoja wa wanawake aliowapachika ujauzito na kisha kuwatekeleza
November 10, 2009 1:49 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Uingereza amebatizwa jina la 'Speminator' baada...
Nimepita hii barabara jana nikiwa kwenye safari zangu za kwenda Kisarawe wakati mvua ilipokuwa inanyesha, ni aibu jamani, maji yalikuwa yamejaa/yametuama barabarani. Sasa nashindwa kuelewa...
Alipa Kisasi Kwa Kumnyang'anya Bwana Mama Yake
Tuesday, November 10, 2009 3:20 AM
Mama mmoja nchini Uingereza ambaye alimwacha mtoto wake kwenye nyumba ya kulelea yatima miaka 22...
Mh Mbunge anapokalia jimbo kwa zaidi ya miaka 30, halafu hakuna lolote la maana alilolifanya! Je! kuna yeyote anaweza kunisaidia kuelewa kama chama tawala kina utaratibu wa kupima utendaji kazi wa...
ARUSHA MUNICIPAL COUNCIL IN COLLABORATION WITH THE CENTRAL GOVERNMENT AND THE WORLD BANK ARE EMBARKING INTO VARIOUS PROJECTS IN THE MUNICIPALITY. THE PROJECTS INCLUDE ROAD...
</SPAN>
Tuesday, November 10, 2009 10:51 AM
MAGUNIA 64 yaliyokuwa na kilo zaidi ya 100 katika kila gunia ya mmea haramu wa bangi yamekamatwa Wilayani Arumeru bila ya wahusika.
Magunia hayo...
Wale samaki waliokamatwa, wataanza kugawiwa kesho kutwa kwa wale waliotuma maombi tu, Waziri Maghufuri ametamka hayo leo hii muda mfupi uliopita,
Sijui kiafya kama zimekaguliwa na wataalamu,
Watu wanaangusha malori ya Mizigo kwa makusudi walipwe na insurance???
I dont know how this happens but kuna mdau yeyote alishazisika hizi????
Hata kama ni usanii, hapa wabongo tumepitiliza!!!!
Wadau,
Jana nilikuwa naagalia TBC1 na niliguswa sana na kipindi cha Shajala. Kipindi hiki kinaendeshwa na dada mmoja ambaye anaonekana ni mwanaharakati mahiri mweye nia njema ya kusaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.