Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa taarifa tulizopata sasa hivi ni kuwa kuna hoteli ya Fair Mount iliyopo Zanzibar inaungua, kwa wenye kuwa maeneo ya Zanzibar tafadhali tupeni zaidi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kutoa salamu za pole kwa idara baada ya kumpoteza mkongwe mwingine aliyezikwa huko Tabata. Mzee wetu huyo ni mmoja wa kundi la maajenti wetu waliofanya kazi wakati wa vita baridi. Ndani ya...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Hivi ukiwa daresalaam,ni kitongoji kipi unaweza sema ni the best place to live... Vigezo vya kuzingatia ni... Aina ya watu.... Burudani... Huduma za kijamii,benki,soko n.k. Dating.. Na...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
</SPAN> Sunday, November 08, 2009 4:01 AM Mwanamke nchini Uingereza amefariki kwa kusagwasagwa na treni baada ya kujilaza kwenye reli wakati treni iliyokuwa kwenye spidi ikikatiza zikiwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Monday, November 9, 2009 The Associated Press Of all the sinister things that internet viruses do, this might be the worst: They can make you an unsuspecting collector of child pornography...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama kuu huko Shinyanga imefanya kweli tena kwa kuwahukumu kunyongwa mpaka kufa washitakiwa wane wa mauaji ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Lyaku Wily (50) ambaye pia alikuwa na ulemavu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Aidha wakufunzi 12 Mzumbe waliokuwa na PhD zenye utata wamevuliwa. orodha yao ni kama inavyoonyeshwa hapo chini. Ukitaka kuhakikisha soma current propospectus ya Mzumbe University utaona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakika bunge letu la tanzania limeshindwa kuonyesha wazi kwamba ni bunge lililotumwa na wananchi kuongelea wananchi kusaidia shida za wananchi lakini leo hii wacha bunge letu kujaza mafisadi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
samahani bandugu mlioko nyumbani maana naona sasa mko kimya ni vipi nuru imerudi hapo nyumbani?i mean umeme vipi mgao umekwisha?nahitaji tu kujua maana niliahirisha kasafari cha kuteremka ili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wabongo naona wameamua kwamba dawa ya 'kibaka' ni 'kipigo'
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toka Jumatano ya tarehe 4Nov 2009 gazeti la Tanzania Daima halijawekwa mtandaoni!!!jamani fanyeni juhudi nasi wa ughaibuni tupate habari na yanayo endelea huko nyumbani..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pilipili: CCM pumzikeni mtafakari namna ya kuanza upyaNa Ayub Riyoba KATIKA makala niliyoandika Agosti 16, mwaka huu nilizungumzia changamoto ambazo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
iPhone users have been warned to expect more malicious attacks World's first iPhone virus surfaces The world's first iPhone virus is reported to be in the wild, targeting users who have...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
We are heading to the next general elections in Tanzania in 2010. But still there are doubts in my view if the voters are aware of their right to think and vote. In this brief article I will try...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wana_Forum, Hapo nyuma kuna mwana-Forum mmoja ambae alisema kuwa anataka kuihama nchi kutokana na kero za siasa zetu za CCM zisizo na mipango ambazo zinamdhalilisha mwananchi kuwa maskini...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
The daughter had not been to the house for over 5 years. Upon her return, her father cussed her out: "Where have you been all this time, you ingrate! Why didn't you write to us, not even a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni malengo yepi ya maendeleo waliokuwa nayo walipokabidhiwa nchi hii mwaka 1961 Ni yepi kati ya hayo malengo waliokuwa nayo wamefanikiwa kama walivyokuwa wameahidi? Tunaweza kujadiri kwa maeneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii naomba kufahamu anifahamishe nini kinaendelea ktk gazeti letu adilifu maana wiki hii hawajatoka ktk mtandao
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Federal drug agents won't pursue pot-smoking patients or their sanctioned suppliers in states that allow medical marijuana, under new legal guidelines to be issued Monday by the Obama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Archeology of The Middle East The religion of Islam has as its focus of worship a deity by the name of "Allah." The Muslims claim that Allah in pre-Islamic times was the biblical God of the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom