Nimeanzisha thread hii nikitazamia tutafaidika wengi kwa kuwa makini na huu uchuro na uchafu wa feki zinazosambaa nchini ambazo zinaweza kuwa na madhara makubwa kwa sisi au vizazi vijavyo. Hapa...
Nimefuatilia kwa karibu posting zinazofanyika kwa siku za hivi karibuni nyingi na kugundua kwamba nyingi zinahusu mahusiano na mambo ya mapenzi ukilinganisha zile zinazohusu mijadala juu ya...
Baraza Kuu la Makanisa ya Pentekoste nchini limeibua upya hoja ya Kadhi kwa kuitaka Serikali kutopeleka muswada Bungeni kuhusu masuala ya dini moja kwa kuwa huo ni uvunjaji wa Ibara ya 19 ya...
Giant Crack in Africa Will Create a New Ocean
Mon Nov 2, 5:43 pm ET
A 35-mile rift in the desert of Ethiopia will likely become a new ocean eventually, researchers now confirm.
The crack, 20...
Watanzania tunaelekea wapi? Soma habari hii
http://www.dvidshub.net/?script=news/news_show.php&id=41063
Tunajua kweli wanafunzi wetu wengi wanahitaji msaada lakini pia kuna jinsi nyingi tu...
Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo...
Tunapenda kuwakumbusha wasomaji na wasikilizaji wetu kuwa habari kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC zinapatikana kupitia wavuti maalum kwa ajili ya simu za mkononi.
Huduma hii mpya inawawezesha...
Na Adam Fungamwango
Bundi bado anaendelea kulia kwenye tawi la CCM Mwananyamala Kisiwani, baada ya watu wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa chama hicho kutimkia chama cha upinzani...
As Tanesco quietly eases power rationing
Independent Power Tanzania Limited (IPTL) have yet to switch on their generators due to what they described yesterday as a thorough...
Hakika ntakuwa sijawatendea haki wana CCM kama sijaeleza vituko vya huyu mzee wetu....
jaman walioangalia taarifa ya habari wameamini kwamba huyu mzee wetu anazeeka vibaya kabisa....wakati...
Zamani ikiitwa Institute of Development Management, na sasa ni Mzumbe university.Naomba tujadili wahitimu wa taasisi hiyo kwani wengi wao (about 80%) wakija huku ughaibuni kufanya masters kwenye...
kwa nilivhokiona uwanja wa taifa mpya wakati wa mechi ya simba na yanga,WITH MY NAKES TWO EYES....!naomba nikubaliane na nyani julius kwamba MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO!pia naunga mkono thread ya Yo Yo...
Wakuu! Hivi karibuni umezuka Mjadala kuhusu kuandika kabila na Dini kwenye CV.
Kwa upeo wngu mdogo naona vyombo vya habari visikomalie saaana hi ''ishu'' coz kama wanataka ifanye kazi basi na...
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitaka kuwapo kwa sheria ya kudhibiti matumizi ya fedha za uchaguzi na kutenganisha biashara na siasa, Serikali imetajwa kuendelea kupata wakati mgumu katika mchakato...
Wana JF,
Heshima Mbele,
Siku ya Ijumaa Tarehe 30 October, 2009 nikiwa Mwanza nilifanya Booking ya Ndege ya Precision Air kwa ajili ya kutoka Mwanza Tarehe 01 November, 2009 (Jumapili)...
Jana na leo shule tano za kinondoni na moja ya Ilala zinaendelea kufanya mtihani wa darasa la saba kwa mala ya pili, msemaji wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amesema kuwa ni kwa ajili ya...
</SPAN>
Tuesday, November 03, 2009 9:21 AM
Mahakama nchini Uingereza ina wakati mgumu kuamua kama mtoto wa kiume ambaye anapumua kwa kutumia mashine lakini ana uwezo wa kusikia na kuona...
Wana JF,
Natumaini wahusika wa makampuni ya simu hapa nchini TZ wapo humuhumu ndani ya JF, mtakubaliana na mimi kuwa Vodacom wiki hii hadi sasa hivi ninapopost hii thread mtandao unasumbua kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.