Wadau, ningependa kufahamu ni utatuzi upi umefikiwa na Askofu mkuu wa kanisa la Kilutheri dhidi ya mgogoro ule wa Dayosisi ya Pare ambapo wenyewe wale wa Upareni walitaka waundiwe dayosisi yao n...
Bia ya Kili ilizindua tangazo lake lipya wikendi hii, shooti ikianza pale Trinity bar na mnaji moja
Tangazo hilo wanaloliita Fikisha Tanzania Katika Hatua ya Juu Zaidi linafanyika katika mikoa...
Wadau, finally wababe wanaopishana kila wakati katika kilele cha PREMIER league wanakutaka wik end hii . Je! Nani atacheka n nani kununa unahisi?
Naomba maoni yenu
NB
Remember, yeyote...
Kama kuna kitu napenda kufanya katika maisha yangu ni kutia watu moyo, nafurahia sana kufanya jambo hili. Hakuna tukio naweza kusema huwa linanipa furaha kama kumwona mwanadamu anabadilika kutoka...
Kutokana na kushamiri kwa Ufisadi Tanzania, nimependa kuanzisha hii thread, kusudi watu tubadilishe muelekeo. Kumbuka mabadiliko yanaanza na wewe, sio yule au serikali! Hivyo ningependa tujiulize...
Hapa tushasikia maneno ya mawaziri (akiwemo waziri Khatibu) kuwa hakuna mkataba wowote unaoonesha nchi hizi kuwa zimeunganishwa kisheria.Kwa maana hiyo iko wazi kabisa kuwa muungano huu ni haramu...
Wiki ya kusulubiana Dodoma
Na Mashaka Mgeta
2nd November 2009
Joto la Richmond lapanda hadi asilimia mia
Kamati ya Mzee Mwinyi ana kwa ana na wabunge
Takukuru waendelea kuwawinda wabunge...
MBUNGE WA RUANGWA KWA TIKETI YA CCM MH. SIGFRID NG'ITU (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA TAASISI YA MIFUPA YA HOSPITALI YA MUHIMBILI (MOI) ALIKOKUWA AMELAZWA TOKA SEPTEMBA 14...
Imengundulika kuwa waamuzi wa mchezo uliochezwa jumamosi kati ya Simba na Yanga hawakuwa na njama za kuikandamiza timu yoyote, ila tatizo ni viwango duni vya waamuzi wa soka. Na tatizo hilo ni la...
Rejea kutoka katika matangazo madogo madogo ya tarehe 27th october 2009 yenye kichwa cha matangazo kisemacho'' Je, unahitaji kupata kipato cha ziada?''. Sasa chukulia tayari umefungua biashara...
Wadau, nimeamua kuleta hili dukuduku ili minisaidie kutoa mawazo baada ya kuteseka sana wiki iliyopita nilivyokuwa pale mkoani Dodoma kwa ajili ya mapumziko mafupi. Some tym huwa najiuliza, Hivyi...
Wakuu, moja ya matatizo makubwa ninayoyaona katika nchi hii ni jinsi ambavyo linapofika suala la kutumia haki zetu kidemokrasia kwa kupiga kura watu hawajiandikishi. Hii imebainika hata sasa...
Rais Kikwete anahusika moja kwa moja na mgawo wa umeme nchini
Isango
KWA wanafalsafa nilishasema hakuna neno la bahati mbaya.
Kila neno hutolewa kwa kukusudia jambo fulani, huwezi...
Utafiti usio rasmi unaonesha kuwa Watanzania wengi huwa hawaendi kazini siku za Ijumaa isipokuwa kwa wale walioajiriwa katika sekta binafsi. Wale wanaokwenda kazini husemekana huenda kujionesha...
H o w D o We R e v e rs e t h e
Br a i n Dr a i n ?
Thank you for the pleasant introduction as well as for inviting
me to share my thoughts on turning “brain drain” into...
Caged in the human zoo: The shocking story of the young pygmy warrior put on show in a monkey house - and how he fuelled Hitler's twisted beliefs
Last updated at 1:10 AM on 31st October...
Kwanini shule za binafsi zanzibar hazirusiwi kufanya mitihani ya kitaifa ya darasa la saba na form 2?
Au kiwango cha elimu cha shule za binafsi kiko chini kuweza kuifanya hiyo mitihani?
Je hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.